Mwanaume kutovaa chupi

Kwa mimi ambae kila nikiona tu mheshimiwa anaibuka ni lazima nivae chupi au boxa ya kubana maana si mchezo
 
Unatatizo kwa kijana wa umri huo dushe halikawii kusimama ukiwa karibu na watoto wa kike. Ni sekunde sifuri tu dude linainuka, na inakuwa fedheha. Kama haliinuki kuna tatizo. Hakuna kitu kinachosumbua kuficha kama dushe likisimama in public Afu hujavaa boksaaaa
 
Im, sipati picha huo mshedede unahangakaje humo ndani ya suruali.
Ila ni sawa lakini hakuna tatizo
Miaka ishirini, lazima mshedede uinuke mademu wakiwa pembeni. Kama haliinuki basi dogo ana tatizo
 
Hali ya hewa inaruhusu mkuu
 
Na migari ya dar inavyojazwa hua unashika chuma na midume ikiwa nyuma yako na usuruale wa kitambaa? Kuna kitabia kibaya kitakupeleka unapoelekea
 
Duh! Una ujasiri kaka wengine kutoka nje bila boxer ndani ni next to impossible kwa sababu za kiufundi zaidi
 
Khakhaakhaaaaa uwiiiiiiiiiiii

jf raha sana

Hivi kyupi/ boxer kwa mwanaume inasaidia nini vileee??

Cc Smart911
 
Unaelekea kuwa delicious!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…