Mwanaume kutovaa chupi

Mwanaume kutovaa chupi

Usiendelee kuvaa hivyo hivyo suburi siku zipu ifanye mambo yake ndio utajua kwanini TX alitunga wimbo wa wanaume tumezaliwa mateso
 
Ipo siku utakua unagombania shuttle afu suruali ikatatuka kwa nyuma utarudi hapa kuomba ushauri kama hiyo ni kawaida ama vipi. Vaa hata mapensi boss!!
Hahahahaa umemaliza mkuu.
 
Usiendelee kuvaa hivyo hivyo suburi siku zipu ifanye mambo yake ndio utajua kwanini TX alitunga wimbo wa wanaume tumezaliwa mateso
zipu haiwezi funguka ninavaaga suruali zisizo na zipu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom