Hapo ndipo vijana wengi tunapokosea, kudhani kwamba tunaweza kutoboa maisha kupitia kubet. Kama unaweza fungua kampuni yako ya kubetisha ama fanya betting kama sehemu ya burudani na yenyewe mara moja kwa mwaka.hapo pa kubet umechemka.huwezi kuwa tajiri kwa kucheza kamari abadan.labda uchezeshe kamari.