Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Wakuu ,
Maisha ya kutegemea mshahara ni ya kitumwa sana.
Mwanaume una mke na watoto halafu huna jinsi yoyote ya kupata pesa eti mpaka mshahara mwisho wa mwezi!
Katikati ya mwezi mifuko imetoboka japo unavaa suti na kujiita baba / mwanaume.
Umeshindwa kuuza mkaa?
Umeshindwa kuuza ice cream?
Umeshindwa kuosha magari?
Umeshindwa kulima , kufuga , kubet?
Hata kuendesha bodaboda umekwama?
We wa kazi gani sasa?