YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,036
Mleta mada nadhani anaongelea wale ambao mishahara haiwatoshi na haongelei labda wafanye Nini itoshe iwe kwa kujiendeleza kimasomo.labda ili wapande vyeo nk Hiyo concept ya kusema wafanye nayo Nina mashaka nayo .Mtu ambaye mshahata hautoshi sijui hako kaziada ka mtaji wa biashara ya kueleweka atakapata vipi? .Labda auze karangaAcha bana,
mtu anayepata salary ya 4M+ plus other benefits unataka ategemee nn zaidi,
kuna wengine mishahara inawatosha kbsaaaa.