Mwanaume kutawaliwa na mwanamke

Mwanaume kutawaliwa na mwanamke

Umenigusa sana MwanajamiiOne. Natamani wakuelewe. nilitaka nihighlight ila naona nitahighlight yooote kabisa.
Tized nlikumiss ndugu yangu.....
Haya maisha ya ndoa kwa sasa ndio yanayoharibu mandhari na maana nzima ya ndoa.

Wengine tumejifunza through hard ways I tell you......
 
Last edited by a moderator:
kukosa micngi ya dini ndo kinacho peleke MWANAWAKE ZETU KUTUTAWARA.acpo jua micngi ya dini hatojua micngi ya ndoa au kujua haki ya ndoa.makosa ni ytu wanaume kuto jua dini na micngi ya ndoa.
 
Kutawala = busara
Kusaidia = upendo

Bravo Elizabeth Dominic ...... hapo ndipo mtihani ulipokamatia.... unatumiaje busara yako kama mwanamke? Hivi hatujiulizi kwa nini nyoka kule katika bustani ya Eden alimfuata Eva kumrubuni na sio Adam? Najua wapo watakaosema alimfuata kwa kuwa Eva ni mwanamke na wanawake ni wepesi kudanganyika.... but ukweli ni kuwa alimfuata Eva kwa kuwa alijua Eva anammudu Adam.....

Hiyo power ya kuwamudu waume zetu tunayo yatupasa tutambue jinsi ya kuitumia. Mwanaume ukimuamrisha atarebel....utake usitake... ndio hulka yao. Lakini unaweza kumbembeleza afanye the same thing kwa kutumia nafasi yako kama mwanamke na akafanya......

Tatizo tunataka kushindana nao. La sivyo Mungu si angedelegate tu.... siku anamuumba mwanaume angeweza kumwambia malaika au Roho wake Mtakatifu amuumbe na mwanamke at per? Asingeshindwa. Au angesema na tufanye WATU ...mwanamume na mwanamke kwa mfano wetu..... alikuwa na haja gani ya kuutoa ubavu wa mwanaume ili amtengeneze mwanamke na kumwita msaidizi wake?


Simaanishi kuwa anyanyaswe coz hata kwenye vitabu vya dini hakuna sehemu inayoruhusu wazi mwanamke kunyanyaswa.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana MwanajamiiOne, Nilikumisi sana, umeadimika sana siku hizi :disapointed:

Makungwi uchwara ni wengi sana siku hizi, wanatuharibia vijana wetu wamepoteza uhalisia wao.. ukifuatilia utagundua wanaishi kama fulani alivyosema au kama inavyosemwa.. (Sio kama yeye alivyojiridhisha-- hapo hawataki kuwaza)

Pia kutawaliwa nakokuona siku hizi kunatokana na uvivu wetu wa kufanya kazi na utegemezi kwa wanawake (Nauchukia kupita kawaida) Mwanaume huwezi ukamtegemea mwanamke kwa mahitaji ukabaki kuwa Mwanaume kwa maana ya Mwanaume ila utabaki kwa maana ya jinsia tu..na lazima Utawaliwe (Fedha ina mamlaka ndani yake)

Kwenye bold pamenitamanishaje? Hope one day utatushirikisha hayo mapito tujifunze yaliyomo.

Tized nlikumiss ndugu yangu.....
Haya maisha ya ndoa kwa sasa ndio yanayoharibu mandhari na maana nzima ya ndoa.

Wengine tumejifunza through hard ways I tell you......
 
Last edited by a moderator:
Elfu 50,000/- hela kubwa sana hiyo, tutakula ikibidi na cement mfuko mmoja ni lazima upatikane.

Katika kupangilia budget na matumizi wenzetu mmetuzidi sana akili.

Nikiwa na 50000 naweza kufikiria kuwapa offer ya bia rafiki zangu, ww ukafikiria kununua mchele na unga???
 
Elfu 50,000/- hela kubwa sana hiyo, tutakula ikibidi na cement mfuko mmoja ni lazima upatikane.

Ndio mwanaume bila mwanamke hakuna mafanikio, ila mwanamke peke yake anaweza akafanikiwa???
 
Perfect, I agree. We are rebelious just by default most of times. unatufahamu sana katika hilo

Muumbaji anatuambia tuishi nanyi kwa akili maana anajua mna uwezo mkubwa wa kuwa manipulated na kutumanipulate sisi wanaume mtakavyo. Kwa maana mlishawahi hata kutamani kuwa sasa na Mungu kwa shetani kutwist tu ukweli uonekane kama kitu kikuubwa sana... maana nyoka alimwambia mwanamke ''ukila utakuwa kama na MUNGU Ukijua mema na mabaya, na hatuambiwi kwamba wangekua na uwezo kama Mungu kwenye vitu vingine.. (unaona point yangu)

Atleast angeambiwa angekuwa na nguvu na mamlaka sawa na Mungu tungeelewa alikua na tamaa kubwa ... lakini yeye alikula tunda la mti wa ''UJUZI wa mema na Mabaya'' akaacha la Mti wa Uzima wa milele (mwanzo 3:22 Bwana Mungu akasema, Basi huyu mtu amekua kama mmoja wetu akijua mema na Mabaya, sasa asije akatwaa matunda ya mti wa uzima akala, akaishi milele) Basi angekula hata hilo tungeona alitamani kuishi milele kuliko kutamani kujua tu mema na mabaya ili nini sasa?


Yote kwa yote wanawake mna nguvu kubwa sana, wachache sana wanatambua hilo, na wanaoitumia wanaume hawafurukuti... Have not read ''Mungu amefanya jambo jipya duniani, kwamba Mwanamke atamlinda mwanaume''
Bravo Elizabeth Dominic ...... hapo ndipo mtihani ulipokamatia.... unatumiaje busara yako kama mwanamke? Hivi hatujiulizi kwa nini nyoka kule katika bustani ya Eden alimfuata Eva kumrubuni na sio Adam? Najua wapo watakaosema alimfuata kwa kuwa Eva ni mwanamke na wanawake ni wepesi kudanganyika.... but ukweli ni kuwa alimfuata Eva kwa kuwa alijua Eva anammudu Adam.....

Hiyo power ya kuwamudu waume zetu tunayo yatupasa tutambue jinsi ya kuitumia. Mwanaume ukimuamrisha atarebel....utake usitake... ndio hulka yao. Lakini unaweza kumbembeleza afanye the same thing kwa kutumia nafasi yako kama mwanamke na akafanya......

Tatizo tunataka kushindana nao. La sivyo Mungu si angedelegate tu.... siku anamuumba mwanaume angeweza kumwambia malaika au Roho wake Mtakatifu amuumbe na mwanamke at per? Asingeshindwa. Au angesema na tufanye WATU ...mwanamume na mwanamke kwa mfano wetu..... alikuwa na haja gani ya kuutoa ubavu wa mwanaume ili amtengeneze mwanamke na kumwita msaidizi wake?



Simaanishi kuwa anyanyaswe coz hata kwenye vitabu vya dini hakuna sehemu inayoruhusu wazi mwanamke kunyanyaswa.
 
Tized....

Mimi siamini katika mwanaume kumtegemea mwanamke kuwa ni mbaya. Muhimu ni kuheshimiana. Mwanaume anaweza akawa na kazi ambayo mshahara ni mdogo kulinganisha na mkewe.... Na ndio uwezo wake. Je utamlazimisha aache kazi hiyo au biashara akatafute yenye kulipa vizuri? Mwisho ataingia kwenye madawa ya kulevya bure mwisho wa siku umpoteze. AU mwanamke ana uwezo wa kufanya kazi kubwa huko kwenye maUN organizations huko utamlazimisha aache ili asiwe na kipato kumzidi mumewe?

Cha muhimu hapa ni kuelewana, kuheshimiana na kuwa kitu kimoja mkijua kuwa ninyi ni wamoja basi. Ninamkumbuka shangazi yangu alikuwa na kipato kikubwa akawa hata akitoka na mumewe kwenda outing na marafiki zao shangaxi alikuwa anaweka kwa siri pesa kwenye wallet ya uncle (sababu uncle alikuwa mbishi sana yaani hela ya mkewe ilikuwa ya mkewe hata kama hana kitu hakutaka kumwomba achilia mbali kukopa kwake). Lakini mwisho wa siku uncle alikuja kuutoa huu ushuhuda na siku hiyo alisema wazi kuwa pamoja na kuwa alikuga na michepuko..... his wife has been always the best.
 
Last edited by a moderator:
Wenzako Waelewane Weye Nje Kuwashwa, Mwee! Waache Madam Baba Karidhia, Utajuaje Labda Baba Kashdwa Kubajet Kamwamin Mama Yuko Vzuri,
 
Hahah shemeji Nyani Ngabu.... dah aksante.
Tized.... nakubaliana na wewe. Lakini kumbuka kuwa target ya nyoka (ibilisi) haikuwa Eva.... bali alimtumia Eva kumrubuni Adam. Adam ndie aliyepewa mamlaka ya kutawala Eden mpaka akapewa uhuru wa kuchagua majina ya kila kipaacho na kitambaacho..... Eva alikuwa msaidizi tu wa Adam katika kuvitawala hivyo. Kama angekosea mwenyewe na kula lile tunda huku Adam akitii amri ya Mungu naamini kuwa Mungu angemfutilia mbali Eva na akamuacha Adam aendelee kujivinjari Eden.

Nyoka (ibilisi) alitumiwa kumpata Adam.
 
Last edited by a moderator:
Maisha ili uyashinde wahitaji mbinu na maarifa. Nimejichunguza nimejiona sina uwezo kukaa na hela na mama watoto anao uwezo huo kwa nini nisimpe akae nazo ili tuyashinde. Watu wengi mawazo yao yapo kwenye michepuko Lakini Mungu katuumba wengi. Kuna watu hawana michepuko Lakini Mwenyezi Mungu kawapa Moyo wenye kuguswa na matatizo ya wengine. Akipewa taarifa fulani mgonjwa au mtoto wake kakosa karo basi anahisi anao wajibu. Si kwa kutaka sifa bali kwa kuguswa. Kuna kazi zingine kila siku walau mtu anarudi na kiasi fulani. Sasa ukiamua kumpa "mamaa" mishahara sio kutawaliwa bali ni mbinu fulani ya kuondoa mitafaruku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom