Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,082
- 10,443
Mara nyingi huwa na sema kuwa ndoa ni utumwa na ili iende vizuri lazima mtwana amtii nwana wake kwelikweli, na hii yote kwa sababu hakuna mkataba wa wazi wa ndoa. Angalau waislam siku moja nilisikia mume akiulizwa mambo anayohotajika kumfanyia mkewe pindi akimuoa japokuwa wengi baada ya kuoa huwa hawafuati mkataba ule. Ili kuepuka yote haya ni vema mkae chini mtengeneze mkataba wenu wa ndoa muweke terms na conditions zenu kwa jinsi mtakavyokubaliana kwa kikomo fulani ili muda ukifika mkae chini muangalie kama muendelee au la