Mwanaume kutamka ni "Sheedah"

Au mengine unakuta yanamalizia na ......je, mwisho wa neno! Mfano: nilichekaje, nililiaje, utanijuaje, utanipendaje, utanikubalije, n.k Yaani Mkuu kuna mijitu inaudhi sana! Wanaume hebu tutofautishe maneno ya kike na kiume!!

niaje niaje ....hao ni machalii wa Arusha wanapenda sana kumalizia na "je"
 
Kuna jamaa majuzi nikampitia twende zetu kupiga moja moto moja baridi sasa akawa yuko na mgeni yule mgeni(mwanaume) tukamstua kama na ye angependa kujumuika akajibu,""mimi sijickii kutoka ati!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…