mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 473
- 1,450
Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na pale kutambulishana jamaa yangu kashuka kwenye gari huku akinisisitiza huyu dada ni shemeji yangu so niwe makini naye.
Kwa sababu tulikuwa siti moja, ilibidi nimulize huyu shemeji yangu je alichongea ni kweli kuwa wewe ni mke, ilibidi mwanamke afunguke kuwa yes ni mke wa jamaa, wana mwaka wanaishi pamoja, baada ya hapo namuliza kwa hiyo jamaa kahamia kikazi hapa ubaruku mwanamke anajibu hapana still yupo mbeya mjini , ila hapa ana mlea na anaishi naye kwake mwanamke, kwani still jamaa ana familia Mbeya.
Kwa sababu jamaa namfahamu hadi mke wake tunafahamiana sana na mke wake amewahi kulalamika kwangu jamaa hatoi pesa ya matumizi kabisa home nimewahi kumshauri kuhusu hilo na trend za mshikaji kupenda kulelewa nimeshituka sana nimejiuliza maswali magumu kidogo inawezekanaje unaenda kulala kwenye nyumba ya mwanamke inakuwaje huna kazi na mkeo ndiye mwenye kazi?
Kama mkiristo bible inasema mwanaume utakula kwa jasho je wewe unahisi wanaume ni akina nani waliombiwa hivo? Hivi ni mzazi gani hasa wa kiume anaweza kuwa proud kusikia mwanawe kawekwa mahali na mwanamke?
Hadi unakubali kulala kwenye mji wa mwanamke umefanya calculated risk ya tendo lako hilo? Wanaume waliofika stages ya kuendesha gari nk la mwanamke wanajisikiaje huku mtaani hasa wanapokutan na sisi wanaume wenzenu?
Katika hali kama hiyo mwanaume unakuwa na kauli kwa huyo mwanamke au unageuka ni mtu wa * ndiyo maama* Kwa nini kama unampend mwanamke na unahisi uhitaji wa kuishi naye basi jenga au kampingishie mahali, nazani huu usasa unafanyA tunakuwa wajinga.