Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
kwani uke unaitwaje hasa ikiwa unamwelezea mtoto mdogo??
Teh teh teh. Anyway, chukulia unaongea na wana JF grown ups, kwa nini uite K dudu?
kwani uke unaitwaje hasa ikiwa unamwelezea mtoto mdogo??
Hahaha nilidhani ni mimi tu ndo nimeshangazwa na hilo!wanawake wana dudu siku hizi?
Kwa hiyo ikitokea mkawa mnaenda kwake,
Na we utakuwa responsible kwa kodi???
una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.