mwanaume kulala kwa mwanamke

mwanaume kulala kwa mwanamke

sio hivyo nimaisha ya mahusiano tu ndio hana kipato kikubwa bt kwann yeye alipe kwake miezi 6 ww uhangaikie kodi na asikusaidie hata mwezi mmoja wakati huwa anakuja kulala kwangu???????

we dada unaonekana ni tegemezi sana we umesha sema we una kwako na yeye ana kwake sasa akulipie kodi ya nini au hiyo **** yako ndiyo mtaji wako wa kukuweka mjini??nyie ndio wale mnajilengesha kwa wa2 halafu mnawapa chini ili mkijua atawahudumia,kama unaona kwako ni hatari basi wewe mwambie mkalale kwake siku anayojisikia hamu!!
si kulala tu siku moja kwani kuna ubaya gani hata kwake unaweza ukalala kwani unampunguzia nini??lakini hilo la kwako hilo la kutaka kumlalia mtu kisa tu unatoa chini hapo inaonekana UMENOA.
kama vipi akija kwako mtoze ei basi kama buku mbili golo moja au buku tatu goli moja kama wale wa kimbokka ili awe anajiandaa kabisa mana ushaifanya hiyo k yako kuwa bidhaa ya kutatulia matatizo yako.we mbona haulipi kodi yake wala pango lake wala bili haumsaidii kulipa??
 
mama pita huyu mwanaume una mbona kuwa ana kasoro nyingi hivi,kwanini humwambii na muachane!
the same guy hakuridhishi kimapenzi
the same guy hakujali unapokuwa na matatizo
the same guy hutaki alale kwako
MAPENZI SI KUONEKANA TU NA WE UNA MWANAUME!ah[/QU


stil nampenda
 
Kabla ya kulalamikia kodi jiulize kwanini hataki wewe ukalale kwake kuna uwezekano kuna bi mkubwa.Akikuzingua mgonganishe na njemba mwingine ili ambonyeze kizenji.
 
mama pita huyu mwanaume una mbona kuwa ana kasoro nyingi hivi,kwanini humwambii na muachane!
the same guy hakuridhishi kimapenzi
the same guy hakujali unapokuwa na matatizo
the same guy hutaki alale kwako
MAPENZI SI KUONEKANA TU NA WE UNA MWANAUME!ah[/QU


stil nampenda

Humpendi!
huwezi kuwa unampenda kisha ukafanya haya unayofanya!
ni penzi la aina gani unampenda huyu mwanaume ambaye hutaki kumkubali alivyo!
ni penzi la aina gani unampenda ilhali hujivunii naye!
ndo mana mimi na mwenzangu BADILI TABIA tunakushangaa kuwa bado tu unalalamikia the same guy!
kama huna furaha na hilo penzi mwambie huyo kaka ukweli upate mwanaume wa aina yako!yule hasa akisimama na wanaume wenzie na we na wanawake wenzio hutaona haya kumtambushsa kuwa ni mpenzi wako!
yule utakayefurahia vile alivyo
yule atakayeweza kukuhudumia
MAANA HUYO NDIYO TAFSIRI SAHIHI YA MWANAUME KWAKO!
 
Last edited by a moderator:
mama pita huyu mwanaume una mbona kuwa ana kasoro nyingi hivi,kwanini humwambii na muachane!
the same guy hakuridhishi kimapenzi
the same guy hakujali unapokuwa na matatizo
the same guy hutaki alale kwako
MAPENZI SI KUONEKANA TU NA WE UNA MWANAUME!ah[/QU


stil nampenda

Ungempenda kweli usingelalamika na kitu kidogo kama kulala kwako. Pia usingelalamika hakuridhishi kimapenzi hapa jf, ungemwambia mwenyewe, maana they say ' no trust no love'
 
Neno la Mungu ni upanga unaokata kuwili na kwa sababu hiyo wengi hatupendi sana kusikia neno hili kuingia masikioni mwetu. Lakini basi pamoja na hayo naomba niseme hivi, miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu tuitumie kwa sifa na utukufu wake aliyetuumba. Amina.
 
Km ana kwake na wewe nenda kakae kama siku 3 hivi,najua lazima mta-do...baada ya hapo atakuwa anakuita uende magetoni kwake.
 
he he heeeeeeeeeee wengine tuliolewa kabla hata hatujawa na nyumba za ku-accommodate hao wakaka
lakini kama ningepata hiyo nafasi, mimi naona kwangu ningekuwa comfortable zaidi.
ingawa kwake pia tungekuwa tunaenda mara chache chache ku-make sure kwamba hakuna mtu anayeishi huko.....maana usipoangalia unaweza ukawa unampumzisha tu mtu wakati alishatwaliwa kitaaaambo.....

wewe ungenifaa sana,lol
 
una bf ....na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala/QUOTE]

kama unampenda umeshindwaje kumwambia? mi naona hiyo invoice ya room haijakaa sawa,
ukweli ni kuwa "dudu" yako itumike au isitumike ndani kwako, hiyo room inabaki kuwa ni ya kwako hivyo lazima uilipie, acha kuwa irresponsible!
 
una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.
mama pita.. laleni mchana siyo usiku kwamaana mkilala usiku ndo unakuwa na machungu ya kutochangiwa kodi. ukilala nae mchana angalau utamshawishi hata anunue chips mayai.... lunch?.....easy...
 
Kwa hiyo ikitokea mkawa mnaenda kwake,
Na we utakuwa responsible kwa kodi???
 
Back
Top Bottom