mwanaume kulala kwa mwanamke

mwanaume kulala kwa mwanamke

Jamani! Si kulala tu kwani kuna ubaya gani? Hata mimi nikija pale ubungo temino nikakuomba pa kulala si utanisaidia tuuu jamani!

halafu unavyofanya jua kabisa sio vizuri.......
cc😡PakaJimmy.......
 
Hapo lazima uchanganye na zako!
Upendo ni kwenye shida na raha! Ukiona kwenye shida ana kukimbia ujue huna chako!

una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.
 
Inategemeana mmekubalianaje kwenye mahusiano yenu,ila mi kulala kwenye geto la demu siwezi,make unaweza kukurupushwa hawa wadudu hawaaminiki jamani wanaume muwe waangalifu!

lo kwa hiyo cku hizi sie tumekuwa mende?
 
sio hivyo nimaisha ya mahusiano tu ndio hana kipato kikubwa bt kwann yeye alipe kwake miezi 6 ww uhangaikie kodi na asikusaidie hata mwezi mmoja wakati huwa anakuja kulala kwangu???????
Usikute wewe unalipa Tsh 150000 kwa mwezi, yeye analipa tsh 30000 kwa mwezi....!! atakulipia kweli?
 
nyinyi si mnataka usawa wa 50 kwa 50 mbona hamlalamiki mnapo kwenda kulala kwa wanaume bila kuchangia kodi hamlalamiki?
 
hata vitabu vya dini vinakataza kumtegemea mwanadamu mwenzako
 
halafu unavyofanya jua kabisa sio vizuri.......
cc😡PakaJimmy.......

Asee halafu mmenitupa! We ngoja tu ntahamia A town! Asee vile viwanja vimeisha?
Salimia watu bhana.
Mi niko huku Karatu narudi town J3 bhana
 
Umeshamlea huyo! Mzoeze cost sharing, sio anapenda kujiweka tu. Wanaume wengine wanapenda dezo, hapo anajiona mjanja, anapata huduma zote bila kugharimia. Chemsha bongo! Kwa nini anakuja kwako tu, huendi kwake? Au wewe ndio unamhamasisha kuja kwako?Akiwa mume huyo unalo!
 
una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.

Hivi nachanganya Anna Pita na Mama Pita, maana kuna mmoja aliamua kuDo women baada ya kuona wanaume wanamboa! LOL
 
Kwani dudu na mambo ya kodi wapi na wapi kma umemchoka sema.........
 
hivi siku hizi suala la KUZINI (USHERATI) limekuwa la kawaida?
 
Inategemeana mmekubalianaje kwenye mahusiano yenu,ila mi kulala kwenye geto la demu siwezi,make unaweza kukurupushwa hawa wadudu hawaaminiki jamani wanaume muwe waangalifu!

Mkuu nimecheka sana hapo kwenye red, kweli tuwe makini
 
ni mapenzi bwana kama ulishamzoesha hivyo endelea kumlea mwenzio
 
usihangaike mi nipo kama kawa kulala kwako mpaka asubuhi... usifukuze mana nitakuganda kama ruba!@ gfsonwin
 
Back
Top Bottom