Mwanaume kufuga kucha ni urembo pia?

malanyingi spendi demu mwenye kucha ndefu coz ni uchafu, malanyingi wanakula maundudu yayo. kama nikiwa nae juwa ninaminya kipistoni nasepa
 
haijakaa sawa hata kidogo. Acha wanawake wafuge lakini kwa mwanaume naona si sawa.
Halafu naomba kusaidiwa juu ya maana ya hili neno BOFLO maana comment za mwanzoni watu walikuwa wanasema atakuwa boflo tu mara huo ni uboflo sasa nikabaki najiuliza nini maana yake??
 
a.K.a Tanga kunanii pale........BOFULO ni mkate ambao si quality sana uwa unatengenezwa kienyeji

Kwa mwanaume kufuga kucha haifai, mwanamke sawa lakini pia ni maamuzi yako kutokufuga, ukifuga unatakiwa uwe msafi sana.
 
Hahahaha! Huu mtego huu..... Ans. Nimewahi kuwaona kwenye sinema mkuu.

Teh teh teh! Nilitaka nijue tu kama umewahi kuwaona basi. Wala sikuwa na haja ya kujua wapi maana naona umeambatanisha na utetezi, ha ha ha ha!
 
Yaani kwa kweli mi nikiona mwanaume amefuga kucha huwa nakua na maswali mengi sana.
 
Wengine wanaiga 2,ila wengine ni ktk biashara zao za unga, ila ni uchafu m2pu! But kuna wengine wanaambiwa wafuge na wapenzi wao kwa spesho duty'lol
 
Ni ishara ya usafi coz anaweza kumaintain usafi katika mazingira magumu. Pia hawapendi fujo coz hawawezi kukunja ngumi sababu ya kucha. ukimuuzi, anaishia kukupiga kofi.
 
wengi wanaofuga kucha wako kazini ila sio za ushoga ni za heshima sana, waogope sana watu hao
 
Back
Top Bottom