Nadhani unaishi dunia ya Leo kwa fikra za zama za mawe,Uko sahihi
[emoji23] [emoji23] wacha kunichekesha mie,kumbe uliwapata wajinga wenzio eeh! Aliyekwambia mapenz ya ndoa ni umafia nani? Hahahaa kwangu mabavu hayana nafasi kabisaa, yapo ningekufanyia (unfortunately to you....namfanyia mume wangu kwa sasa) ambayo ungesahau kujiweka juu b4 me, kila kitu ungenitanguliza mimi wewe nyuma, hata njiaNimekuwa na wanawake mamafia wakakaa sembuse wewe mboga saba mtoto laini.... Sijawahi kumshindwa mwanamke na huwa simwambii nimemuacha, na ananyooka mi ndo huwa nasema now umenyooka nenda kaolewe
Tunavumilia mengi Mkuu sema yakitufika shingoni hakuna mswalie MtumeMmmh kwahiyo utaki utani kabisa yaani ni mtu ambaye unafanya kiwe kizuri zaidi ili akiku udhi kidogo tu unaanza kufyatuka? Hapana nyie ni viumbe mliopewa mioyo ya uvumilivu juu yetu na ukarimu uliyotukuka inabidi msushe pumzi ili mtafakari zaidi
Kojoza km bomba la dawasco utashangaa anakutana na limtu tipwatiiiiipwa linampitia hivi hvo kishomboshombo kisa tu limemnunulia simu Kali,Sio kwa wanawake wa kileo Faiza kwani tamaa imewajaa na unaweza kumkojoza mara 10 kwa siku bado atakudharau na kuona huna mchango kwake. Hata babu zetu pia waliteswa na bibi zetu ila sisi ni balaa.
Yameshanikuta naongea kwa ushuhuda kwani nilifanyiwa jambo la ajabu na mdada kisa nilimpenda na kila nilipokutana nae aliridhika tena kwa ushahidi dhahiri maana mwanamke hawezi nificha kama amefunga goli au la? Tamaa itawaua
Acha nirejee kauli yko ya awali,nione ulivoandika kwa utulivuHata bila kumkojoza wewe atakojoa mwenyewe. Mnapoammbiwa mwanamme rijali basi muelewe urijali una mambo mengi zaidi ya kukojozana.
Inasikitisha sana fikra yako ndipo ilipoishia hapo.
Umejifunza nn kupitia maumivu yake,halafu umejifunza nn kwa mwanamke mwenzako huyo mtukanaji,Wanaume wenyewe hamjielewi...kuna kaka mchepuko wangu mpaka hua namuonea huruma anatukanwa na mkewe matusi ya nguoni ananuna kidogo hata msamaha aombwi anakuja kunishtakia tu Mimi.....yaan mpaka namuonea huruma tu
Umeolewa kumbe naomba tuweke nukta. Tunza mumeo, muheshimu wakat wote... Mi nilijua naongea na wale wanawake wanaojifanya kushindikana,huwa nawanyoosha sana na wananyooka kweli kweli mkuu... We ni mke wa mwanaume mwenzangu, kila la kheri[emoji23] [emoji23] wacha kunichekesha mie,kumbe uliwapata wajinga wenzio eeh! Aliyekwambia mapenz ya ndoa ni umafia nani? Hahahaa kwangu mabavu hayana nafasi kabisaa, yapo ningekufanyia (unfortunately to you....namfanyia mume wangu kwa sasa) ambayo ungesahau kujiweka juu b4 me, kila kitu ungenitanguliza mimi wewe nyuma, hata njia
Tunavumilia mengi Mkuu sema yakitufika shingoni hakuna mswalie Mtume
...Hebu mwambie ageuke tumuone kwanza kisura chake kule, ...Wewe kwangu mimi lazima ungekua bwege tu,wala usijipotezee muda kujisifu
Upumbavu
Mkuu baba angu alikuwa kauzu sana kwa mama na ss,nikaapa kuwa nikipata mke ntambembeleza sana,"HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU"
Noted
Hizi ndizo thread zenye faida,
Mara nyingi huwa sitoi like kizembe kizembe ,
Mkuu nimekupa like.
Mwanamke timamu kichwani,asiye na chembe ya tabia za km makahaba wa mtaani anajua njia sahihi ya kumkabili mwanaume mbabe,hauna ubabe wa kupambana na ubabe,ila umeumbiwa nguvu ya kuupoza ubabe wa mwanaume kwa akili,tatizo hamjui nguvu yenu,yaani kifupi hamtumii akili mnaishia kuwaza ustawi wa jamii tu na nguvu ya gubu,Kazi yangu nikukutii lakini kukutii huko inategemea na wewe.
Unastahili kutiiwa? Sio unijie kibabe babe utegemee nikutii tu hata kwenye visivotiiwa.
Wakati wanawake timamu wanajivunia kuwafanya waume zao wakatulia na familia ikastawi,Nimekuwa na wanawake mamafia wakakaa sembuse wewe mboga saba mtoto laini.... Sijawahi kumshindwa mwanamke na huwa simwambii nimemuacha, na ananyooka mi ndo huwa nasema now umenyooka nenda kaolewe
Natumaini wazima humu!!
Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi paleambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi''tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA'',
Hata mtume Paulo kt nyaraka zake alisema''MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA'' alafu akasema kwa wanawake''MWANAMKE 'MTII' MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO'', unaweza ona mwenyewe utofauti wa 'kupenda' na 'kutii', kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri.
Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya'KUTAWALA' na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadili badili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe.
Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika humu, acha kuwapa wapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.
Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyoooo ananyoosha kufuata, sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake bhana, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utoto lakini hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished.
''HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU''
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege.... USISEMA HUKUAMBIWA........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama Simba kaiona hii? Ngoja aione uundiwe Tume na wanaharakati
Unadhani kwanini mliambiwa muishi nao kwa akili? Ukitafakari hapo utapata jibu. Tatizo viumbe nyie hilo mmelichukulia rahisi sanaaa mnadhani akili ni mabavu.Hahahah arafu hawa viumbe huwa wananifurahisha kitu kimoja wanajiona wao huwa ndo wana akili nyingi mno sijapata kuona
Mwanaume ni kiongozi ..mtawala na kichwa cha familia!! Ushauri tu, play your part as a woman, maisha yatasonga! Kuanza kuleta haki sawa ndani ndio itafanya utuone sisi wabaya!! Wish you luck!Mapenzi si kupigana mangumi trust me! Kwangu mimi mume si mtawala ila ni rafiki yangu,kipenzi changu na burudani yangu! Hayo unayoyataja hospital ni kituo cha wasiojua mahaba
Hilo nalo neno hata mimi naunga mkono mwanamke unapiga bao moja chali bao lenyewe dk 2 hapo lazma akudharau tukombaME
siraha = silaha
Mwanamke hakudharau hata siku moja kama u rijali wa kweli, uwe au usiwe na mali.
Ukiwa humtimizii unyumba hata uwe na mali vipi utadharaulika tu.
Mkuu naunga point yako bila kumkaza vzuri anakuachaUmeongea vyema Mkuu FaizaFoxy.
Niliwahi Fanya utafiti kuhusu wanawake wenye kisirani na jeuri kwa waume zao nikabaini kuwa wengi Kama sio wote hawaridhishwi na waume zao kitandani.
Mama mmoja aliwahi kuniambia.
"Michael hata uoe mwanamke mkali Kama pilipili, mwenye gubu Kama kuku mwenye vifaranga wadogo, jeuri Kama mbogo. Lakini Kama unamfikisha kileleni atakuwa mpole Kama njiwa na kukuheshimu"
Umenena iliyo dhahiri