Mwanaume kudharaulika na mwanamke ni uzembe

Mwanamke gonga mpaka aseme nimechoka
Hata ukimwambia ondoka haondoki ng'ooo
Hata ukimdunda ataenda atareudi kwako amefika
Lkn usipomkaza kisawasawa lzm akuzalau
Sikiliza dada mmoja mwenye watoto wanne aliniambia sijawahi kufanywa hivo maishan mwangu anamdharau mume kuliko napiga kila aina ya nyimbo amweshim wapi?
 
[QUOTE="Mfitinishaji, post: 19802341, member: 331081"MTU wawa viumbe nawa amini wakiwa mwisho tu!

Utasikia wanaomba haki sawa, wamepewa saivi wanaomba kuwezeshewa!

Kama wao ni sawa na sisi kwa nini

wakipewa haki sawa na sisi bado wanaomba kuwezeshwa!

Tangu mwanzo mwanamke hajui anacho kitaka.Wananyoa nyusi kisha wana paka rangi zao nyeusi kufatisha walipo nyoa,kama Mungu ajawalidhisha wewe ni nani?

Kwa niaba ya watu wenye asili ya wanaume halisi Mwanamke ni mtu wa kuongozwa tu bila kusahau kuwaheshimu wanao stahili & vice versa[/QUOTE]
Nimeipenda sana hiyo parandesi ya mwisho-mwanamke ni mtu wa kuongozwa tu.
...na mimi namalizia Tanzania ikiongozwa na mwanamke ntahamia nchi jiran for that 5 years.
 
Tatizo sio wanawake, tatizo liko kwa wanaume wa kizazi hiki. Kitu kidogo tu kashaleta mabandiko humu wao wenyewe hawawezi kusimama kama baba wa familia
Yeah na hasa hawa waliokulia mboga saba na kusoma academy is a take ta milalamiko mingi na viinglish vyao vya kubana pua-hopeless sana hawa.
....sisi tuliokulia na kusomea shule zenye kujua nini nafasi ya mwanaume ktk jamii hatuna huo ujinga hata kidogo.
 
Mwanamke gonga mpaka aseme nimechoka
Hata ukimwambia ondoka haondoki ng'ooo
Hata ukimdunda ataenda atareudi kwako amefika
Lkn usipomkaza kisawasawa lzm akuzalau
Sikiliza dada mmoja mwenye watoto wanne aliniambia sijawahi kufanywa hivo maishan mwangu anamdharau mume kuliko napiga kila aina ya nyimbo amweshim wapi?
Uko sahihi
 
Yeah na hasa hawa waliokulia mboga saba na kusoma academy is a take ta milalamiko mingi na viinglish vyao vya kubana pua-hopeless sana hawa.
....sisi tuliokulia na kusomea shule zenye kujua nini nafasi ya mwanaume ktk jamii hatuna huo ujinga hata kidogo.
Na hawa walioko kwenye mitandao yote ya kijamii, hawana hata muda wa kuisimamia familia kwa nini mwanamke asiwe kichwa
 
kombaME

siraha = silaha

Mwanamke hakudharau hata siku moja kama u rijali wa kweli, uwe au usiwe na mali.

Ukiwa humtimizii unyumba hata uwe na mali vipi utadharaulika tu.
Umeongea vyema Mkuu FaizaFoxy.

Niliwahi Fanya utafiti kuhusu wanawake wenye kisirani na jeuri kwa waume zao nikabaini kuwa wengi Kama sio wote hawaridhishwi na waume zao kitandani.

Mama mmoja aliwahi kuniambia.
"Michael hata uoe mwanamke mkali Kama pilipili, mwenye gubu Kama kuku mwenye vifaranga wadogo, jeuri Kama mbogo. Lakini Kama unamfikisha kileleni atakuwa mpole Kama njiwa na kukuheshimu"

Umenena iliyo dhahiri
 
Yaani ukisoma tu comments unagundua kwanini mnalalamika kudharaulika.
 
Natumaini wazima humu!!

Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi paleambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi''tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA'',

Hata mtume Paulo kt nyaraka zake alisema''MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA'' alafu akasema kwa wanawake''MWANAMKE 'MTII' MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO'', unaweza ona mwenyewe utofauti wa 'kupenda' na 'kutii', kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri.

Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya'KUTAWALA' na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadili badili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe.

Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika humu, acha kuwapa wapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.

Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyoooo ananyoosha kufuata, sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake bhana, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utoto lakini hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished.

''HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU''
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege.... USISEMA HUKUAMBIWA........
Daah mimi nikikutana na mwanamke wa kunidharau fasta nakimbia huwaga sitakagi dharau mimi
 
kombaME

siraha = silaha

Mwanamke hakudharau hata siku moja kama u rijali wa kweli, uwe au usiwe na mali.

Ukiwa humtimizii unyumba hata uwe na mali vipi utadharaulika tu.
Sio kwa wanawake wa kileo Faiza kwani tamaa imewajaa na unaweza kumkojoza mara 10 kwa siku bado atakudharau na kuona huna mchango kwake. Hata babu zetu pia waliteswa na bibi zetu ila sisi ni balaa.
Yameshanikuta naongea kwa ushuhuda kwani nilifanyiwa jambo la ajabu na mdada kisa nilimpenda na kila nilipokutana nae aliridhika tena kwa ushahidi dhahiri maana mwanamke hawezi nificha kama amefunga goli au la? Tamaa itawaua
 
Hili neno linatumikaga vibaya sana wakati mwingine!
Mwanaume unafanya mambo yasiyo sawa unataka uchekewe tu et kisa Mungu alisema utamtawala mwanamke.
sidhani kama alimaanisha utawala wa Mfalme na mtumwa bali Mfalme na Malkia wake
Kama hutaki kutawaliwa oa wa kwako umtawale!
 
Naaam nimefarijika sana na uzi huu, wanaume tunatakiwa tujue nafasi yetu sio kulia lia na kukaa kinyonge.
Na maisha ndio yanavo takiwa yaende
 
Back
Top Bottom