Mwanaume kudharaulika na mwanamke ni uzembe

Mwanaume kudharaulika na mwanamke ni uzembe

Yaani ukisoma tu comments unagundua kwanini mnalalamika kudharaulika.
Kumbe nawe umeona.

Wanajibu kivyepesi vyepesi tu. Wajue kabisa ili tuwatii tena kwa upendo wanawajibika kusababisha utii huo
 
Yanii kuhusu hao viumbe mie sina hata kusema ila daaah too much madharau
 
Ndio maana nikasema nakuonea huruma!! Ni vyema kusimamia unachoamini ila iwe vizuri kukitetea...otherwise utakua mteja wa USTAWI WA JAMII na hospitali!
Mapenzi si kupigana mangumi trust me! Kwangu mimi mume si mtawala ila ni rafiki yangu,kipenzi changu na burudani yangu! Hayo unayoyataja hospital ni kituo cha wasiojua mahaba
 
Kumbe nawe umeona.

Wanajibu kivyepesi vyepesi tu. Wajue kabisa ili tuwatii tena kwa upendo wanawajibika kusababisha utii huo
Hivi MWANAUME unacha vipi kumtii!!
Kwa comments na mada ninazozionaga humu acha tu mambo yaendelee tu maybe watatia akili siku moja.
 
Duuh yaan wew ndo ungekuwa mke wangu, haki ya nani sikupi taraka na lazima ungenyooka....yaani we unapelekwa kimafia hadi ungeomba poo.... Weee
Wewe kwangu mimi lazima ungekua bwege tu,wala usijipotezee muda kujisifu
Upumbavu
 
Natumaini wazima humu!!

Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi paleambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi''tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA'',

Hata mtume Paulo kt nyaraka zake alisema''MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA'' alafu akasema kwa wanawake''MWANAMKE 'MTII' MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO'', unaweza ona mwenyewe utofauti wa 'kupenda' na 'kutii', kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri.

Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya'KUTAWALA' na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadili badili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe.

Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika humu, acha kuwapa wapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.

Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyoooo ananyoosha kufuata, sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake bhana, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utoto lakini hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished.

''HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU''
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege.... USISEMA HUKUAMBIWA........
Huko juu sikukuelewa vzr,nkataka kuipotezea lkn nlipo yaona maandishi ya hapo chini kwa herufi kubwa kuhusu ndoa kuwa na demokrasia haidumu,nimekuelewa sana,hyo mistari ya mwisho umeoiga KO mkuu salute u,
Wenzetu ukiwarahishia A Wao wanarahisisha B C D E nk nk mpaka mwisho
 
Hili neno linatumikaga vibaya sana wakati mwingine!
Mwanaume unafanya mambo yasiyo sawa unataka uchekewe tu et kisa Mungu alisema utamtawala mwanamke.
sidhani kama alimaanisha utawala wa Mfalme na mtumwa bali Mfalme na Malkia wake
Kunatofauti kubwa kati ya kushauri na kudharau,kushauri ni moja ya wajibu mkubwa wa mwanamke maana kusudi la kuumbwa kwake lilikuwa kusaidia,
Tatizo linatokea pale mnapokataa nafasi ya kusaidia na kufariji,mnataka kutawala,hamkuumbwa kutawala,mkitawala hamfanyi vizuri Mara nyingi,lkn mkisaidia mnafanya vyema sana sana na mnakuwa faida sana maana ndo nafasi mloumbiwa,
Kumbuka trekta linafanya vzr shambani likiletwa kwenye mashindano ya mbio linashindwa pamoja na uimara wake maana halikutengenezwa kwa mashindano,
Acheni kumpinga MUNGU,
 
Wakati mwingine wanawake wanachukua demokrasia katika muktadha tofauti sana, you can decide to lead the family democratically lakini usipoangalia anakupanda kichwani.

Ni vizuri kutokuwa predictable ukiishi na mke, ukiwa direct sana aweza kukuchukulia easy na hata kukuaibisha mbele za watu siku moja.
 
Yamekukuta yapi mzee

Yaani mzee mwenzangu unaweza ukamwambia mtu mfano mama tuzae anakwambia "kwani wew hauna mfuko wa mimba mpaka tuzae ote?" Just imagine jembe unamfanyaje mtu kama huyo?
 
Wakati mwingine wanawake wanachukua demokrasia katika muktadha tofauti sana, you can decide to lead the family democratically lakini usipoangalia anakupanda kichwani.

Ni vizuri kutokuwa predictable ukiishi na mke, ukiwa direct sana aweza kukuchukulia easy na hata kukuaibisha mbele za watu siku moja.
Exactly... Wanawake hawaeleweki unachotakiwa nawewe pia usieleweke hivyo hivyo
 
Wewe kwangu mimi lazima ungekua bwege tu,wala usijipotezee muda kujisifu
Upumbavu
Nimekuwa na wanawake mamafia wakakaa sembuse wewe mboga saba mtoto laini.... Sijawahi kumshindwa mwanamke na huwa simwambii nimemuacha, na ananyooka mi ndo huwa nasema now umenyooka nenda kaolewe
 
kombaME

siraha = silaha

Mwanamke hakudharau hata siku moja kama u rijali wa kweli, uwe au usiwe na mali.

Ukiwa humtimizii unyumba hata uwe na mali vipi utadharaulika tu.
Dada Faiza huwa nakuona muelewa sn,lkn Leo umeniprove wrong,aisee hyo tu kuanza na kukosoa lafudhi au typing error
Imefanya nipumue,
Halafu kuamini kuwa kukwichiwa ama kulijarishwa ndo kunafanya mtulie??
Km kweli wanawake wote kizazi hiki hii ndo fikra yao sasa nnanza kuwaelewa wanaume wanaosema mmeumbwa kwa kutumia tu,
Jambo ambalo siamini kabisa,
Kumbe mumeo akipata tatizo la kiafya ama kisaikolojia likapelekea nguvu ya kutikisa nyavu ishuke basi na ww unashusha heshima kwake!!!!!!?
Aisee kwa heri
 
Ukimpenda, ukimlinda na kumuheshimu haya yoote utayasikia kwa jirani tu...! Mume si mtawala Bali ni rafiki,msiri na faraja ya mwanamke....!! Ukinifyatu nakufyatua tu hakuna namna

Mmmh kwahiyo utaki utani kabisa yaani ni mtu ambaye unafanya kiwe kizuri zaidi ili akiku udhi kidogo tu unaanza kufyatuka? Hapana nyie ni viumbe mliopewa mioyo ya uvumilivu juu yetu na ukarimu uliyotukuka inabidi msushe pumzi ili mtafakari zaidi
 
Mwanamke gonga mpaka aseme nimechoka
Hata ukimwambia ondoka haondoki ng'ooo
Hata ukimdunda ataenda atareudi kwako amefika
Lkn usipomkaza kisawasawa lzm akuzalau
Sikiliza dada mmoja mwenye watoto wanne aliniambia sijawahi kufanywa hivo maishan mwangu anamdharau mume kuliko napiga kila aina ya nyimbo amweshim wapi?
Nadhani hapa kuna tatizo la umri
 
Tatizo sio wanawake, tatizo liko kwa wanaume wa kizazi hiki. Kitu kidogo tu kashaleta mabandiko humu wao wenyewe hawawezi kusimama kama baba wa familia
Ulikubalije kuolewa na mwanaume asoweza kusimama km baba
 
Back
Top Bottom