Mwanaume kudharaulika na mwanamke ni uzembe

Mwanaume kudharaulika na mwanamke ni uzembe

Sio kwa wanawake wa kileo Faiza kwani tamaa imewajaa na unaweza kumkojoza mara 10 kwa siku bado atakudharau na kuona huna mchango kwake. Hata babu zetu pia waliteswa na bibi zetu ila sisi ni balaa.
Yameshanikuta naongea kwa ushuhuda kwani nilifanyiwa jambo la ajabu na mdada kisa nilimpenda na kila nilipokutana nae aliridhika tena kwa ushahidi dhahiri maana mwanamke hawezi nificha kama amefunga goli au la? Tamaa itawaua
True broh
 
Hata bila kumkojoza wewe atakojoa mwenyewe. Mnapoammbiwa mwanamme rijali basi muelewe urijali una mambo mengi zaidi ya kukojozana.

Inasikitisha sana fikra yako ndipo ilipoishia hapo.
 
Hata bila kumkojoza wewe atakojoa mwenyewe. Mnapoammbiwa mwanamme rijali basi muelewe urijali una mambo mengi zaidi ya kukojozana.

Inasikitisha sana fikra yako ndipo ilipoishia hapo.
*Mnapoammbiwa= Mnapoambiwa
*Kuwa makini kijana, vipi hukuzingatia shule?
 
Mkuu kwanza nikukumbushe kitu ambacho huwenda umesahau,

kwanza wakati tuliokuwa nao wanaume ni wachache sana na kadri siku zinavyozidi kwenda ndo tunazidi kupunguwa ...

wengi wanakosa kujiamini kwa kupoteza uwanaume wao ,

Tatizo la wanaume kukosa msimamo wengi ni kukosa nguvu za kiume ,hili wengi limewafanya kutojiamini na wakati mwingine kuendeshwa na wanawake kwa kuogopa kutolewa siri zao,

wengi wamekuwa wakiwabudu wake zao/wapenzi zao..ni kwa kuogopakufichiliwa siri zao na madhaifu yao..

Ndomana wanaume wengi wamekuwa wakitawaliwa na si kutawala kwa kupoteza sifa za kiume
 
Hili neno linatumikaga vibaya sana wakati mwingine!
Mwanaume unafanya mambo yasiyo sawa unataka uchekewe tu et kisa Mungu alisema utamtawala mwanamke.
sidhani kama alimaanisha utawala wa Mfalme na mtumwa bali Mfalme na Malkia wake
Mwanaume si mtawala ,mwanaume ni kiongozi juu ya mwanamke,

kunatofauti kubwa kati ya kiongozi na mtawala
 
Tangu enzi.. mwanaume kiongozi.. ukiona mwanamke anataka kukupanda juu ujue kuna walakini
 
Sio kwa wanawake wa kileo Faiza kwani tamaa imewajaa na unaweza kumkojoza mara 10 kwa siku bado atakudharau na kuona huna mchango kwake. Hata babu zetu pia waliteswa na bibi zetu ila sisi ni balaa.
Yameshanikuta naongea kwa ushuhuda kwani nilifanyiwa jambo la ajabu na mdada kisa nilimpenda na kila nilipokutana nae aliridhika tena kwa ushahidi dhahiri maana mwanamke hawezi nificha kama amefunga goli au la? Tamaa itawaua
Teh teh teh teeeeh!!
 
Naaam nimefarijika sana na uzi huu, wanaume tunatakiwa tujue nafasi yetu sio kulia lia na kukaa kinyonge.
Na maisha ndio yanavo takiwa yaende
Unaongea na wanaume wa sayari gani?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mpaka upinduliwe unakuwa wapi? Lazima ujue kila kitu kinachoendelea... ili hata likitokea vuguvugu... una zima hilo jaribio.
Detective J:

nachomaanisha mwanaume unapokosa sifa za kiume,basi ni rahisi mke kukupanda na kukutawala
 
Wanaume wenyewe hamjielewi...kuna kaka mchepuko wangu mpaka hua namuonea huruma anatukanwa na mkewe matusi ya nguoni ananuna kidogo hata msamaha aombwi anakuja kunishtakia tu Mimi.....yaan mpaka namuonea huruma tu
 
Umenikumbusha leo nipo sehemu, mwanamke anapigiwa simu na bwana wake

Akasema : eeh sema shida yako. Kwani unataka nini? Nipo njian naenda hospital. Sikusikii bwana. Akakata simu.

Nilijitafakari saana.
[emoji23] [emoji23] [emoji120] asante, huyo mwanamke ni shujaa sana na Dawa kwa wanaume wasumbufu
 
Ukimpenda, ukimlinda na kumuheshimu haya yoote utayasikia kwa jirani tu...! Mume si mtawala Bali ni rafiki,msiri na faraja ya mwanamke....!! Ukinifyatu nakufyatua tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom