same story broWakati na kua nilikua namuona mzee wang mkorofi sana na bi mkubwa alikua analalamika mzee mtata!! Sasa nimeingia uko nataona kumbe mzee alikua sahii kabisa na mimi napita mulele acha waseme vyakurithi vinazid lakin ndo njia sahii kuweka heshima ya family
Guna tu, ukitoka upitieMmmh,
Sawa hapa nimekupata.Detective J:
nachomaanisha mwanaume unapokosa sifa za kiume,basi ni rahisi mke kukupanda na kukutawala
Unaposema utawala umemaanisha mmoja kua mtumwa wa mwingine hakuna malikia hapo nipo huku musoma hatutakagi hiyo misamiati yenu ya kudekekzwa na dharauHili neno linatumikaga vibaya sana wakati mwingine!
Mwanaume unafanya mambo yasiyo sawa unataka uchekewe tu et kisa Mungu alisema utamtawala mwanamke.
sidhani kama alimaanisha utawala wa Mfalme na mtumwa bali Mfalme na Malkia wake
Sio kuwa fikra imeishia hapa LA!? Bali ndio wengi wa wanawake wanapokimbilia pale wanapotaka kuvunja urafiki na mwanaume na hakuna sababu basi hudai anikojozi. Bila shaka hata wewe ukisoma kwa makini comment yako utagundua kuwa ulimaanisha kumridhisha kitandaniHata bila kumkojoza wewe atakojoa mwenyewe. Mnapoammbiwa mwanamme rijali basi muelewe urijali una mambo mengi zaidi ya kukojozana.
Inasikitisha sana fikra yako ndipo ilipoishia hapo.
Nakuonea huruma sana!Ukimpenda, ukimlinda na kumuheshimu haya yoote utayasikia kwa jirani tu...! Mume si mtawala Bali ni rafiki,msiri na faraja ya mwanamke....!! Ukinifyatu nakufyatua tu hakuna namna
Jichunguze ndio ujaribu kunijibuNakuonea huruma sana!
Ndio maana nikasema nakuonea huruma!! Ni vyema kusimamia unachoamini ila iwe vizuri kukitetea...otherwise utakua mteja wa USTAWI WA JAMII na hospitali!Jichunguze ndio ujaribu kunijibu
Duuh yaan wew ndo ungekuwa mke wangu, haki ya nani sikupi taraka na lazima ungenyooka....yaani we unapelekwa kimafia hadi ungeomba poo.... WeeeUkimpenda, ukimlinda na kumuheshimu haya yoote utayasikia kwa jirani tu...! Mume si mtawala Bali ni rafiki,msiri na faraja ya mwanamke....!! Ukinifyatu nakufyatua tu hakuna namna
Unaweza kujikuta unakonda tu kila sikuHakika mkuu hawa viumbe hawa ni hatar sna licha kuumbiwa Kama ni starehe kwetu ila mwenyez mungu mwisho alituambia tuiyogope dunia na tuwaogope wanawake hakika vitimbi vyao ni zaid ya shetani ukisema unawapa mamlaka wanakugeuza mbuzi na kukulisha majani na kamba ya pua dawa yao akizngua unamuonesha who's the leader