Hivi hebu tu jiulize jambo
Kuna faida gani kusumbuana ktk ndoa badala ya kuishi km Mungu alivokusuadia,maana nnajua hata wewe unaemsumbua mwenzi wako na ww unaumia maana kukaa na mtu msiye elewana ama aliyeumizwa lazima itakuwa mzigo kwako sababu hamtashirikiana,lazima na ww uumie tu,sasa faida ipo wapi,na kwa nn kila mtu asikae kwenye nafasi yake,wanawake vueni suruali za akili zenu vaeni sketi na hijab mioyoni mwenu,na ss akina baba tuvae suruali akilini mwetu na tuvue kombati mioyoni mwetu,
Tubebe majukumu yetu na tunao wabebea majukumu watutambue km viongozi maana huwezi ongoza mtu anaekuchukulia km mkia,
Mliopo kwenye ndoa Dada zangu acheni kuapply mbinu ambazo makahaba wanazitumia kukabiliana na mabuzi yao yanayowakopa kwichi kwichi,tumieni nguvu ya ndani alowapa MUUMBA,Punguzeni Gubu dunia ipone,
Msijidanganye na Beijing maana mnaweza pata hizo mnazodhani haki zenu lkn mkakosa amani ya ndani ya nafsi zenu na mkakosa pepo pia,
Sifa za mwanamke zibaki kwake na heshima kwa mwanaume ibaki kwake,
Mwanaume akiwa na pungufu ndo kazi uloumbiwa kuhakikisha unamsaidia kulimaliza,inakera sana mnatujaza stress na vitabia vyenu na gubu,matokeo stress inazaa ulegevu ktk kuwapa tamu yenu,inaua nguvu ya kitanda halafu mnaanza kulalamika kutoridhishwa,na mnashindwa kutulia zaidi ya kuanza kuwatangaza nabkuwasimanga wanaume hawawaridhishi Mara ooo hauna nguvu za kiume Mara oooo haunifikishi wakati chanzo cha tatizo yamkini ni nyie,kapungukiwa hizo unazoziita ww ni nguvu utadhani mnaenda kulima basi msaidie kulimaliza tatizo ili ufaidi hizo nguvu,
Afu acheni kuiga fikra na mitazamo ya makahaba,hili tendo halihitaji nguvu linahitaji stamina na amani ya ndani,wala haihitaji likiiiiiitu kuuuuuubwa km punda inahitajika amani ya ndani itayochochea stamina ambayo nayo itapelekea huko mnakoita kukojozwa,
Vita mloanzishiwa na shetani na ninyi mkaidandia ya kupambana kuwatawala wanaume kamwe hamtaishinda,
Mlio kwenye mahusiano msifuatishe tabia na maneno mnayojazana mkutanikapo kwenye Sacco's zenu mkazileta kwenye mahusiano kwani hao wanaojitutumua kuwakamata wanaume zao wakifika makwao ni wapole balaa,sasa ww zibuka uwaige halafu peleka hyo tabia ya kuhadithiwa kwako uone kinachokukuta,
Kumbukeni kazi ya mkia inajulikana,na mnyama adharauye mkia huukumbuka anapopata usumbufu wa nzi,
Aibu ya mwanamke ni kubwa sana kuliko ya mwanaume hata mkijitutumua Vp,
Tulieni dunia ipone
Tulieni tujenge familia
Maana mnalipuka na kujiresi km generator za kichina