mwanaume kapewa maternity leave lol

mwanaume kapewa maternity leave lol

hehehe hujasikia hili...shauri yako Best!!! Nchi nyingine kuna raha ya kuwa mzazi bana..Na watu wengine wanatumia kufyatua tu.

Heh! Labda kama tutasaidiana kubeba hilo tumbo! Partenity yenyewe inatumika kupongezana bar at large.
 
...Hehehe sasa hiyo habari nyingine utalaamu huo wa kuhamishia tumbo kwa njemba bado haujagundulika labda tusubiri hadi mwaka 2300 🙂🙂 labda unaweza tu kuambulia massage za mgongo, kiuno kama kinauma, miguu na nyayo zake kama nayo/nazo inahitaji/zinahitaji special attention...

Njemba inaweza kuchukua hiyo miezi mitatu ikawa inaacha mtoto na HG yenyewe iko nyumba ndogo inakula maraha. Hiyo ya kushare maternity leave ya mama inatolewa zaidi na baadhi ya Serikali na mume na mke ni lazima wakubaliane maana mama naye anaweza kabisa kusema anahitaji kukaa nyumbani mwaka mzima na mume naye asiwe tayari kukaa nyumbani kipindi kirefu hivyo kutokana na umuhimu wa kazi zake kwa muajiri na pia kuboreka.


Heh! Labda kama tutasaidiana kubeba hilo tumbo! Partenity yenyewe inatumika kupongezana bar at large.
 
Nine moons; aah nimekosea ni 3 months, mashirika mengine ni 4.
Hilo la kuitwa martenity, labda Boflo anaweza tuelewesha vizuri inakuaje mwanaume apewe maternity na sio paternity!
unitue.....na uzabizabina wako
 
Back
Top Bottom