Mwanaume KAMILI

Huku mkoani jamaa ni sabuni, tunaoshea vyombo, kuogea na tunafulia. Jiwe moja huua zaidi ya ndege mmoja.
Tena ukiniletea imperial leather ninajipaka jioni baada ya kuoga ni manukato yale
Sasa mtu unauwezo wa kununua protex..kwa nini uogee sabuni za kufulia au kuoshea vyombo??

Labla useme mtu hana uwezo wa kuafford kununua hizo sabuni ndo atumie jamaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unakutana na mtu wa mkoani bajeti yake ya mwaka mzima ni gunia la mahindi na elfu 17 lakini yupo nyuma ya keyboard kuwafuatilia wanaume.

Pathetic
 
Kuna watu walikamatwa kwenye hifadhi walitapeliwa na mjanja kutoka Dar eti wanatafutiwa malisho.

Walimlipa jamaa milioni saba. Kama unahisi watu wa mkoani ni vichaa subiri hapo hapo bado wakaendeleza uzoba wao.

Wakiwa humo mbugani walikua na mifugo zaidi ya 200 lakini akaanza kufa mtu mmoja mmoja.

Sababu ya kifo? NJAA.

Hujakosea kusoma, walikufa njaa huku wana mifugo zaidi ya 200.
Mtu wa Dar angechinja na angekula wao wakawa wanakula vinyesi na kumkata ng'ombe mkia au ngozi kidogo kidogo.

Kama utakaa unabishana na watu wasio na akili kalaghabaho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom