snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Hahahahaha mnanifurahishaWapo wawili tulia brazamen wa kigoma uliuziwa mswaki buku tatu Dar
Hahahahaha mnanifurahishaWapo wawili tulia brazamen wa kigoma uliuziwa mswaki buku tatu Dar
Yuko vizuuuuri,ungepata tabu sanaNa bahati yake hatugombei wife ningemdhalilisha kwenye insha hapo
Na mimi nimehisi hivyoWanaume wa Dar wapoje?
Au ushaliwa papuchi kwa mkopo?
Karibu darisalamaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna kauli nyingine akiongea mwanaume inabidi ujiulize mara mbili kuhusu jinsia yake.wanaume wa dar hovo kabisa hata kutafuna miwa hawawezi hadi wakamuliwe juice.... hopeless kabisa
Labda wako ndio yuko hivyo,Mwanaume wa Dar amezoea kuogea imperial leather akikuta kipande cha jamaa bafuni anatoka na kuomba sabuni ya kuogea
Wamekufanyaje? Kwa chochote walichokufanya ni sababu ya kiherehere chako.Hivi jamani sifa za mwanaume kamili ni zipi? Kwanini wanaume wa dar wapo hivi?
Kifo cha mende
Tabu haiwezekani, Siyo kwa brazameni wa KigomaYuko vizuuuuri,ungepata tabu sana
Tulia mcheza singeri huku wanatoka watu wanaopiga shoo za kibabeTabu haiwezekani, Siyo kwa brazameni wa Kigoma
HahhahahahahahhajajaTulia mcheza singeri huku wanatoka watu wanaopiga shoo za kibabe
Eti kasema wewe ni was dar!Tabu haiwezekani, Siyo kwa brazameni wa Kigoma
Acha nae huyo mpaka poda..Hahhahahahahahhajaja
So Kuna mkwe wa Dar
na mkwe wa Kigoma!!
Hehehhehehehr
Shoo gani? Za kununua mswaki elfu tatu?Tulia mcheza singeri huku wanatoka watu wanaopiga shoo za kibabe
Siku ya kikao cha familia akimleta mwanao kwa fisi usishangaeHahhahahahahahhajaja
So Kuna mkwe wa Dar
na mkwe wa Kigoma!!
Hehehhehehehr
Mkwe ni mkoa gani zaidi ya Dar rais alisema atakayekaa mpaka mwezi wa sita ni mwanaume?E
Eti kasema wewe ni was dar!
Sasa hutaki shemeji yako apate mwenzio?Acha nae huyo mpaka poda..
Ila naona umepata mkwe mpya ngoja mie nikae pembeni.
Thanks
Jiamini dogo ushaambiwa wako wawili unakimbilia wapi sasa?Acha nae huyo mpaka poda..
Ila naona umepata mkwe mpya ngoja mie nikae pembeni.
Thanks
Akarudi Kigoma?Mkwe ni mkoa gani zaidi ya Dar rais alisema atakayekaa mpaka mwezi wa sita ni mwanaume?
Da'Vinci alikua anaishi kiwalani baada ya lile tangazo akaona hapamfai akaondoka.