snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Hahhahaha ,ni hapo atakapokuta bahari washindwe kutua!!Siku ya kikao cha familia akimleta mwanao kwa fisi usishangae
Hahhahaha ,ni hapo atakapokuta bahari washindwe kutua!!Siku ya kikao cha familia akimleta mwanao kwa fisi usishangae
Huyo dogo namjua.Akarudi Kigoma?
Vinci njooo mwonyeshe huyu hakujui vizur
Wakati tunarudi kutoka kazin tukishuka kituoni tunapanda bajaji/uber mpaka home.Hata tukiwa tunaenda kazini, tunapanda gari
Na amejua hakuwezi ndiyo maana anajifanya kasusaHahhahaha ,ni hapo atakapokuta bahari washindwe kutua!!
Basi nisamehe Mkwe.Hem muwache kakako!!
anayeoa mkubwa ndiye Kaka!!
Heshima mbele!!
Siwez changia mkwe naww. Bora. Nikuachie tu...
Tulia boya ww mswaki ulikua na. Waranty ya mwaka kama sim yangu..Huyo dogo namjua.
Akaanzisha uzi analamika maisha ya Dar magumu kauziwa mswaki elfu tatu.
Wakina Thomaso wakaomba picha ya mswaki picha kutumwa kumbe ni ule mswaki unakaa kwenye dawa ya meno ya whitedent ya 2500
Sitakii jamaHem muwache kakako!!
anayeoa mkubwa ndiye Kaka!!
Heshima mbele!!
HahahahaSiwez changia mkwe naww. Bora. Nikuachie tu...
Usinune Son!!Sitakii jama
Nimenuna mom..Usinune Son!!
Mwanaume wa Dar amezoea kuogea imperial leather akikuta kipande cha jamaa bafuni anatoka na kuomba sabuni ya kuogea




Hivi jamani sifa za mwanaume kamili ni zipi? Kwanini wanaume wa dar wapo hivi?
Kifo cha mende