Mwanaume kama kichwa cha familia inatakiwa afanyeje?

Achana nae huyu Babu Kikongwe, yupo baridi kama Uhai feki. Anatumia tu mbinu ya kusema NTAKUOA kukata kiu yake

teh teh teh uwiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie CPU!!!

So what can i do!!! umri unakwenda nimekupigia misele CPU mpaka leo umenitolea nje??
 
We dogo acha mkwara....hebu soma hapa chini, sitaki longolongo.

Ngoja niwahi gym nipunguze uzito nisije kumlemea mke wangu mtarajiwa.

hah haaaaaaaa babu kumbe unakitambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
 
teh teh teh uwiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie CPU!!!

So what can i do!!! umri unakwenda nimekupigia misele CPU mpaka leo umenitolea nje??

Sijakutolea nje wangu, mi nilikuwa nakutafuta sana
Huyu babu achana nae, ana tumbo limeshuka mpaka mgongoni linaonekana
Yaani akivaa hata ch*** anaichomekea na shati ili mstari wa nyuma usionekane
Kizee cha matatizo hiki
 
Nani asome
Umshaandaliwa maji ya mpapai kwenye pipa, kaoge tukufukize na mizoga ya mbu

We dogo utachonga sana, lakini mtoto atakimbilia mikononi mwa babu. Nani alikudanganya Susy anapenda visharobaro?
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Wengine wanadhani kumrundikia mwanaume kazi zote ambazo huko nyuma ilizoeleka afanye mwanamke basi ndio KUJIKOMBOA aka HARAKATI.
Wanaume wenyewe wa kuoa mpaka utumie darubini ya iliyotumika kumnasa Osama Bin Laden halafu bado eti awe wa kwanza kufanya usafi na kuandaa chai????

mmmh eti darubini ???????????
 
1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4. Ahudumie familia kikamilifu
************
nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume

hapo no 1 IWE KILA SIKU?? AU kwa nadra sana, kama ni kwa nadra aah napenda tena sana,ILA Kama ni kila siku SIMTAKI KABISA MWANAUME WA AINA HII.

Hapo kwenye no 2 pia kuna maswali mengi sana, usafi upi? na kwa wakati gani??, kwa mazingira yapi??.

Hapo 3,4 napenda iwe kwa wote ili itumike TUWE, badala ya AWE....

MAJUKUMU YA MWANAUME YANAJULIKANA NA MAJUKUMU YA MWANAMKE YANAJULIKANA, MKANGANYIKO UNATOKEA PALE TU MMOJAWAPO ANAPOTAKA KUCHUKUA MAJUKUMU YA MWENZIE.NA MIMI RAHA NA FURAHA YANGU NI KUONA MWANAUME WANGU ANATIZA MAJUKUMU YAKE YA KIUANAUME, sasa mwanaume ukifanya majukumu yangu mimi nifanye nini??...lol
 
1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4. Ahudumie familia kikamilifu
************
nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume
lazima ulikuwa unaota!
 
Mi nakuunga mkono Nazjaz..kweli wanatakiwa wasaidie kazi mwaya. Huku niliko nimeshangaa sana mara nyingi nakaribishwa dinner au launch na baada ya kumaliza wanaume ndo wanainuka kwenda kuosha vyombo. Ni juzi tu nilibaki mdomo wazi baada ya kukaribishwa na couple moja na baada ya kula mkwe (son inlaw)ya ile couple ndo aliinuka na kwenda kuosha vyombo na mkewe amekaa anatia story nami. Je waume zetu wataweza hivyo? si mbaya jamani wanahitaji kubadilika tuachane na ooh sijui limbwata.. tuone ni katika kujaliana na mapenzi tu.
 
1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4. Ahudumie familia kikamilifu
************
nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume

Dah mi siwezi kufanya hayo lol
 
mwanaume wangu
awe na kazi na awe mzuri kwenye majambozzi
baaaaassssii kazi kwisha

hayo mengine tufanye pamoja
sintopenda mwanume wangu awe kama mwanamke
ntapenda tusaidiane hapa na pale lakini sintopenda
afanye kazi za ndani masaa yote ..uwanaume hapo hauna maana..
sred klosed
 
Mwanaume atabaki kuwa Mwanaume, sipendi wanaume wadhaifu wanaopelekeshwa na wake zao
 
Wengine wanadhani kumrundikia mwanaume kazi zote ambazo huko nyuma ilizoeleka afanye mwanamke basi ndio KUJIKOMBOA aka HARAKATI.
Wanaume wenyewe wa kuoa mpaka utumie darubini ya iliyotumika kumnasa Osama Bin Laden halafu bado eti awe wa kwanza kufanya usafi na kuandaa chai????

Jamani........... If women labouring in the kitchen and doing house chores, while their men seat, lazying around watching tv ndio standards aka darubini ya kupata waume, then exactly what's the point of us having a PARTNER??.....................Du, I guess I should just kiss goodbye any thoughts of me walking down through the aisle!
 
Usiogope Nemo mtasaidiana tu
 
Back
Top Bottom