Mwanaume kama kichwa cha familia inatakiwa afanyeje?

1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
4. Ahudumie familia kikamilifu
************
nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume
..............:A S 109: what a:bored: thread

yak!
 
Usiogope Nemo mtasaidiana tu

Gaga, you said it, ....mambo kusaidiana!!!!!! Ila what I cant stand ni huu mfumo dume, where most of chores fall on our laps in the name of "kazi za mwanamke!". Kazi za mwanamke my foot...........urgh!!!
 
Back
Top Bottom