Mwanaume kama kichwa cha familia inatakiwa afanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume kama kichwa cha familia inatakiwa afanyeje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, May 7, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  1. Awe wa kwanza kuamka na kutengeneza kifungua kinywa.
  2. Afanye usafi ili awe kielelezo na mfano bora kwa watoto tulio nao.
  3. Awafundishe watoto maadili mema, dini na taaluma pia.
  4. Ahudumie familia kikamilifu
  ************
  nyingine naomba muongeze wana harakati wenzangu tuutokomeze huu mfumo dume
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Nazjaz umenichekesha sana. Wewe mkia unataka kukifundisha kichwa nini cha kufanya.
  Sijaku offend nime ku remind status yako tu kwenye ngazi ya familia
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mwanaume afanye yote hayo aitwe kichwa cha nyumba
  Mwanamke yeye tutamuitaje????
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  mwanamke ni moyo wa familia
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  May 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mwanaume wangu
  awe na kazi na awe mzuri kwenye majambozzi
  baaaaassssii kazi kwisha

  hayo mengine tufanye pamoja
  sintopenda mwanume wangu awe kama mwanamke
  ntapenda tusaidiane hapa na pale lakini sintopenda
  afanye kazi za ndani masaa yote ..uwanaume hapo hauna maana..
   
 6. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wakukufanyia hayo yote lbd uwe umemlisha limbwata!!! CPU ninavyomfahamu eti adamke asugue sufuria! dada zake watakutoa nyongo.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,765
  Trophy Points: 280
  I love you Afroie!

  Am in love with you Susie!
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  May 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wengine wanadhani kumrundikia mwanaume kazi zote ambazo huko nyuma ilizoeleka afanye mwanamke basi ndio KUJIKOMBOA aka HARAKATI.
  Wanaume wenyewe wa kuoa mpaka utumie darubini ya iliyotumika kumnasa Osama Bin Laden halafu bado eti awe wa kwanza kufanya usafi na kuandaa chai????
   
 9. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Mwanaume kama kichwa. Kichwa kina ubongo, macho, masikio, pua na ngozi. Kwa hiyo anatakiwa atumie ubongo ipasavyo, aone mbali, awe msikivu, awe mnusaji mzuri na pia awe anahisi miguso ya mwenza wake. Kwishney.
   
 10. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha hahaaaaaaaaa babuuuu!!! nimekumiss sana !!!
   
 11. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa wakati anafanya usafi na kutengeneza kifungua kinywa,we utakuwa wapi?
  unaangalia mechi ya man u na asenali au uko kwenye jukwaa fulani hapa JF?
  haileti raha bhanaaaaaaaa......

  Mwanaume mwanaume tu
  Anapaswa kukusaidi pale inapobidi lakini ukiizidisha hivyo
  hata raha ya yeye kuwepo ndani kama mwanaume haitakuwepo.
   
 12. CPU

  CPU JF Gold Member

  #12
  May 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wiki hii nzima ukiishiwa na vocha we nibip tu
   
 13. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  umeonaeeh!!!

  wanaume wenyewe wakulenga kwa manati!!! aku mwaya wangu mie hata ndevu nitamnyoa akiwa amelala kitandani!!!
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,765
  Trophy Points: 280
  Hivi babygirl, si unajua pa kunipata? babu is always there for you......

  Kama umesahau, twenzetu PM, watoto bado hawajalala hapa sebuleni.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,765
  Trophy Points: 280
  You can say that again!

  I will marry you!
   
 16. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  teh teh teh!!! babu maji ya kuoga nitakuchemshia pamoja na iliki na mdalasini!! shuti kukubeba kukupeleka bafuni!!!
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nakuonya mara ya mwisho
  Achana na huyu binti . . .
   
 18. CPU

  CPU JF Gold Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Achana nae huyu Babu Kikongwe, yupo baridi kama Uhai feki. Anatumia tu mbinu ya kusema NTAKUOA kukata kiu yake
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,765
  Trophy Points: 280
  We dogo acha mkwara....hebu soma hapa chini, sitaki longolongo.

  Ngoja niwahi gym nipunguze uzito nisije kumlemea mke wangu mtarajiwa.
   
 20. CPU

  CPU JF Gold Member

  #20
  May 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jaribu uone
  Susy, embu rudi chumbani mi bado sija . . . . . cha asubuhi
   
Loading...