Mwanaume fanya hivi unapoachwa

Mwanaume fanya hivi unapoachwa

Na ndo nataka hayo matusi ati

hahahahahahahaha....wengine tukimpuuza mtu yani asahau kama aliwahi kukutana na mimi kwenye maisha yake..najipenda mwenyewe kuliko kitu chochote ndio maana nikiwa kwenye mahusiano naambiwa najisikia sana yote nakataa tabu kama hizo tukiachana
 
Mkuu Umenifurahisha hapo uliposema umajipenda.... Na hiyo ndio rule namba moja
 
Mwanaume ni kukaa kimya na kuseto kwenye mishe za hela...baaaass... Hayo mambo ya kuanza kufundishana eti ukajipoze na filamu, sijui uwe unaskiza muziki laini laini ili ukufariji, ni mambo ya watoto wa primary
usichukulie oyaoya ishu ya kupigwa chini wewe,na sio kila mtu anaweza kufanya kama unavyofikiri wewe,24/7 unatafuta pesa tuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom