kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,363
...Nimeipenda sana hii, ..Ila tusubiri waje. HuuMwanamke akikuacha kwa nyodo, mbwembwe na matusi, wala usimjibu kwa kupanic, utampa kichwa, atajifeel amekuweza kaa kimya, mwanaume na mdomo wapi na wapi.
Penzi jipya kidonda, penzi jipya ni kama jipu, ukilikuna unasikia utamu, kosea ulitumbue ndo utajua kwa nini linaitwa jipu.
Siku zote kuachwa hakuzoeleki lakini, jibu la kelele ni ukimya na sio kelele kwa kelele, tutashindwa kujua nani anajitetea na nani analia.
Ikikugusa pia kaa kimya!
Uzi nikama Kokoro utabeba wengi mno,..