Mwanaume fanya hivi unapoachwa

Mwanaume fanya hivi unapoachwa

Kuachwa kunauma ila ukiachwa kuwa mpole tambua sio riziki yako wengine mashetani tuu hao mungu kakuepushia!
 
Mi ukinikalia kimya ndo ntazidi kukuchokoza. Bora unitapikie tu
Hahhahaha. Anayetapika mara nyingi huwa anainesha kuumizwa na hali hiyo. Hivyo kumfanya awe dilemma aliyekuacha bora kukaa kimya.
 
Ni heri hata uniblock na nijue umeniblock kuliko unikalie kimya aise. Ukishanitapikia nakua mwepesi sana
 
Ukimya Unauma sanaa.
Kuna mmoja alifumaniwa akichepuka,mumewe hakumsemesha vibaya wala kuonyesha tofauti yoyote wala kumuuliza lolote. Mwanamke alivoona vile baada yasiku3 akasepa kwao
 
Dawa ya mwanamke ni kumlia Buyu tu...Atakoma kuringa mbona yani fata mambo yako nO texts...nO calls...nO talks!
Mwanzo mwisho ndani ya week ya kwanza tu ya hio dozi kama ni mke/mpenzi aliekuwa analeta mazoea utashuhudia adabu ya kiwango cha lami na kujikanyaga kanyaga kusiko isha!
Usicheze na nguvu ya hili neno "ATTENTION" mbele ya mtoto wa kike, akiikosa endlessly huwa anajihisi kudata wazimu!
 
Tunafanana...
Juzikati tulishindwa kuelewana na bae...alinikalia kimya.
No text yani hakunisemesha kabisa.
Uwiiiii nilihisi kufa [emoji22][emoji22][emoji22].
Mimi bora unisemeshe,haijalishi unanisemesha nini.[emoji135]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunafanana...
Juzikati tulishindwa kuelewana na bae...alinikalia kimya.
No text yani hakunisemesha kabisa.
Uwiiiii nilihisi kufa [emoji22][emoji22][emoji22].
Mimi bora unisemeshe,haijalishi unanisemesha nini.[emoji135]
ha ha ha ha kumbe eeh, na ntaongeza dozi we si unajifanyaga mjanja!
 
Thubutuuuu...hiyo huwa inatokea kwa siku za mwanzo tu.
Lakini baada ya hapo namove on like I never mate you
[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Dawa ya mwanamke ni kumlia Buyu tu...Atakoma kuringa mbona yani fata mambo yako nO texts...nO calls...nO talks!
Mwanzo mwisho ndani ya week ya kwanza tu ya hio dozi kama ni mke/mpenzi aliekuwa analeta mazoea utashuhudia adabu ya kiwango cha lami na kujikanyaga kanyaga kusiko isha!
Usicheze na nguvu ya hili neno "ATTENTION" mbele ya mtoto wa kike, akiikosa endlessly huwa anajihisi kudata wazimu!
Hapo umenena mbaba...kimya kingi kina mshindo mkuuuu.
 
Tunafanana...
Juzikati tulishindwa kuelewana na bae...alinikalia kimya.
No text yani hakunisemesha kabisa.
Uwiiiii nilihisi kufa [emoji22][emoji22][emoji22].
Mimi bora unisemeshe,haijalishi unanisemesha nini.[emoji135]
Kumbe ndio dawa eti???[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] sasa ni kimyaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom