Tunafanana...Yaani mi usinikalie kimya. Nipe tu maneno ya shombo kitaniuma then nitaondoka
Wengine jibu la ukimya kwetu haliwork kabisa ni kama umenifungulia nikusumbue vizuri...Tunafanana...
Juzikati tulishindwa kuelewana na bae...alinikalia kimya.
No text yani hakunisemesha kabisa.
Uwiiiii nilihisi kufa [emoji22][emoji22][emoji22].
Mimi bora unisemeshe,haijalishi unanisemesha nini.[emoji135]
Kumbe ndo dawa yenu???Tunafanana...
Juzikati tulishindwa kuelewana na bae...alinikalia kimya.
No text yani hakunisemesha kabisa.
Uwiiiii nilihisi kufa [emoji22][emoji22][emoji22].
Mimi bora unisemeshe,haijalishi unanisemesha nini.[emoji135]
Duuuuuh mbona tunazidi kufanana sasa?Wengine jibu la ukimya kwetu haliwork kabisa ni kama umenifungulia nikusumbue vizuri...
Ila nikiamua kuku ignore na kukuchukulia kawaida kurudi nyuma ni ngumu aise.
Haitakiwi uumie sana wala,tunaumia siku 2 ya3 memory inaanza kufutika na kuona mbona kawaida tu.Duuuuuh mbona tunazidi kufanana sasa?
Nitaumia kwa muda ila nikianza kumove on imekula kwake.
Namove on as I never mate him [emoji4][emoji4].
Stunter stunterMwanamke akikuacha kwa nyodo, mbwembwe na matusi, wala usimjibu kwa kupanic, utampa kichwa, atajifeel amekuweza kaa kimya, mwanaume na mdomo wapi na wapi.
Penzi jipya kidonda, penzi jipya ni kama jipu, ukilikuna unasikia utamu, kosea ulitumbue ndo utajua kwa nini linaitwa jipu.
Siku zote kuachwa hakuzoeleki lakini, jibu la kelele ni ukimya na sio kelele kwa kelele, tutashindwa kujua nani anajitetea na nani analia.
Ikikugusa pia kaa kimya!
Aiseee upo vizuriMimi namtukana matusi yakiungana yanafika kutoka mwenge mpaka goba,
Ila siimpigi coz sasa hivi watu wanatembea wamekufa kasoro roho kutoka tu.
Aisee Mimi sitapikagi ila nitakudharau hadi utajiona vibayaMi ukinikalia kimya ndo ntazidi kukuchokoza. Bora unitapikie tu
Maneno ya shombo ili ukajisifie wewe ni wakukaliwa kimya hadi ujione vibayaYaani mi usinikalie kimya. Nipe tu maneno ya shombo kitaniuma then nitaondoka
Hivo ndio ninavyofanyaga mwisho wa cku naitwa jeuriunakaa kimyaa ukimsemesha atajikweza wee achaa atukane weeee afu wee kimyaa baada ya hasira zake kwisha ipo siku atakutafta tuu tunawajuaga hawa viumbee walivyo wasengerema
Yaani we jamaa umeongea km mimi vile...kimtu kikizingua unakipotezea kimya kimya..mimi huwa simuongeleshi neno hata moja ila wiki moja tu utaskia vitex vya just saying hi....hi my foot.Mwanamke akikuacha kwa nyodo, mbwembwe na matusi, wala usimjibu kwa kupanic, utampa kichwa, atajifeel amekuweza kaa kimya, mwanaume na mdomo wapi na wapi.
Penzi jipya kidonda, penzi jipya ni kama jipu, ukilikuna unasikia utamu, kosea ulitumbue ndo utajua kwa nini linaitwa jipu.
Siku zote kuachwa hakuzoeleki lakini, jibu la kelele ni ukimya na sio kelele kwa kelele, tutashindwa kujua nani anajitetea na nani analia.
Ikikugusa pia kaa kimya!
Nidharau nikuone ila sio unichunieAisee Mimi sitapikagi ila nitakudharau hadi utajiona vibaya
exactly bro...Mwanamke akikuacha kwa nyodo, mbwembwe na matusi, wala usimjibu kwa kupanic, utampa kichwa, atajifeel amekuweza kaa kimya, mwanaume na mdomo wapi na wapi.