Mwanaume chini mwanamke juu

Mwanaume chini mwanamke juu

mfirigisi

Senior Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
115
Reaction score
50
Wakuu maisha siku hizi yamekuwa tofauti ,kwani baadhi ya wanawake wameku nauwezo wakuendesha familia kuliko wanaume,na kuwafanya wanaume kuwa chini ,pia hata katika uongozi naona wanakuja juu wakimuweka mwanaume chini angalia bungeni speaker ni mwanamke wanaume chini
 
Watafadhalishe washuke!
Kwa usalama wa vigo zao! Because mgusofigo huhusika pia .
 
napita naenda zangu jukwaa la naniliu, ila sirudi huku kwa usalama wangu binafsi!
 
Guna mguno ugunavyo bt maukweli yanabaki palepale!
Tena asavali sie wakawaida ndo twaweza reach kwa Kidney ! Kuna wale waliokula maudoudou! Hung hwei shang hwang! Wanafika kunako Ini Edo
haya si ni majina ya wachezaji wa filamu ambao tunawaiga hadi kutembea...........
 
Kwa kiinglish tunasema, woman on top..!
 
haya si ni majina ya wachezaji wa filamu ambao tunawaiga hadi kutembea...........

Haswaa! Pale nilitaka kiutuuzima zaidi nilichotaka pale ni neno Ini baas! Hiyo Edo ni ktk funikafunika.
Au hujanielewa nilichokilenga?
 
Kongoshoooo!!!!! na Pretaaa njooni kuna maada inawahusu huku!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom