Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Ni vile hata serikali imeweka Magari kwenye kundi LA starehe ila gari linarahisisha mambo mengi shida gari bongo kumiliki inatakiwa fedha za kutosha Nchi haitengenezi Magari halafu kuingiza kausafiri kodi juu hatari ndio maana kila kukicha itaonekana ni anasa au kupata ni mafanikio kumbe inatakiwa iwe kama kumiliki Simu tuu...watu waweze kumiliki
 
Leo nimeamini JF maigizo!Nachoweza sema mtoa mada maliza shule,ka degree ka social work kanikudatishaaa!Sio kosa lako
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
maisha mipango tutakutana uzeeni tuombeane uzima
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Zumbukuku mkubwa gari na uanaume vinakutana wapi??
 
Yaani mishipa imekutoka kabisa shingoni... umefikiri mwenyewe ykaja anzisha uzi huu?????
 
Back
Top Bottom