Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

mjini ushawah kuskia baba mwenye gari?
kwa kigar chenyewe ki bebiwoka.....

mjini tupo mababa wenye nyumba tuu
 
Duu mmetoka kwenye nguvu za kiume hadi sasa hivi magari

Tunaomba mlegeze vigezo jamani mnatuathiri kisaikolojia [emoji23][emoji23]
hahahaaa ukiyachukulia serious kila matukio yanayotokea humu au kwenye hiz social network utakuja kudata ..ishi maisha yako mkuu
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Hii inaonyesha vigezo vyako vya maendeleo kwa upeo wako!
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Umetoka shamba wazazi wako hawakua gari sasa umenunua mkweche unajiona mjanja.
 
Vipi ulifanikiwa kuweka mkojo kwenye radiator?
Inaonyesha gari ndo ilikuwa ndoto yako ya maisha......hongera sana
Hivi huyu ndo yule jamaa aliyesema yuko pori Gari linachemsha hana maji, aweke mkojo?

Inaonekana ni mshamba sana
 
Gari ni kitu cha msingi lakini si cha lazima, hakuna aliye pata aibu kwa kukosa gari. Mwanaume anaweza ukapatwa na aibu pale tu itakapoonekana alikuwa na pesa na hakujenga nyumba. Nafikiri gari siyo kilele cha mafanikio ya mwanaume wala siyo kipimo cha kutofanikiwa pia. WARAKA WA TEC NIMEUSOMA
 
Kuwa na gari alafu unaishi kwenye nyumba ya kupanga. Ni sawa na kufuga mbwa kwenye nyumba ya kupanga.
 
Hivi huyu ndo yule jamaa aliyesema yuko pori Gari linachemsha hana maji, aweke mkojo?

Inaonekana ni mshamba sana

Ndo huyu huyu.......halafu unaweza kuta ki gari chenyewe PASO kakipiga safari ndefu hadi kika chemka.
 
AIBU ZAIDI DUME ZIMA linampa MWANAUME mwenzie pesa za kodi ya nyumba MWISHO wa mwezi...yaani UNAAMUWA kurudi nyumbani kwa kujificha ficha kisa mwenye nyumba asikuone? hii ni AIBU KUBWA SANA,,, DUME ZIMA lina mke na watoto KUKOSA HATA KIBANDA ukaishi.. .
 
Mtu ameshanunua baby walker balaa limeanza mtaani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Hiyo ni kufuru
 
There are lot of things lost necessity in this life, apart from car its a shame for man having a big black cock but it wont work[emoji13] [emoji13] Mwanaume kukosa gari si aibu bali aibu kubwa kwake ni kuwa na mkuyenge mkubwa lakini haufanyi kazi[emoji13] [emoji38]utatamani bora uwe hata na kibamia kinachofanya kazi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Hapa ndipo waTanzania mnapoonyesha uchumi wetu utaendelea kushuka na kuukuza wa mataifa ya nje.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Baba yangu alifariki akimiliki baiskeli nzee na aliheshimika mpaka nje ya vijiji jirani, mimi sina gari na sijawahi miliki gari lakini nina nyumba tatu. Gari na nyumba kipi mhimu kwako? Kuning'inia kwenye dala ni kitu cha kawaida ndugu. Hata fast train huwa zinajaa watu mnabanana kama ndizi ingawa wote mna uwezo wa kumiliki gari ila priority kwanza. Hata wenye magari wanayapark wanapanda usafiri wa umma kama wabunge UK unafikiri hawawezi endesha magari au hawana madriver? Nyinyi ndo mnapinga climate changes sababu hamjui hasara ya kuwa na gari tena huku kwetu ambapo exhaust hazipimwi kama zinatoa moshi. Pole ndugu.
Kusema unamiliki miti mitatu ya maembe (nyumba tatu) halafu huna embe hata moja (gari) kwangu naona ni kwamba hizo nyumba ni za urithi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom