Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Dahh unalazimisha watu kusaka gari mwisho wake sijui n nn?
 
Gari si moyo kuwa kila mtu lazima awe nao
 
Baba yangu alifariki akimiliki baiskeli nzee na aliheshimika mpaka nje ya vijiji jirani, mimi sina gari na sijawahi miliki gari lakini nina nyumba tatu. Gari na nyumba kipi mhimu kwako? Kuning'inia kwenye dala ni kitu cha kawaida ndugu. Hata fast train huwa zinajaa watu mnabanana kama ndizi ingawa wote mna uwezo wa kumiliki gari ila priority kwanza. Hata wenye magari wanayapark wanapanda usafiri wa umma kama wabunge UK unafikiri hawawezi endesha magari au hawana madriver? Nyinyi ndo mnapinga climate changes sababu hamjui hasara ya kuwa na gari tena huku kwetu ambapo exhaust hazipimwi kama zinatoa moshi. Pole ndugu.
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Duh, hatari! Yaani sasa tunapimwa uanaume wetu kwa magari. Kuna mmoja alidai mwanaume mashine, wewe unaangalia magari!

Vv
 
Gari ya kutembelea ni liability kwa familia zenye uwezo mdogo kiuchumi.
Na uanaume sio kumiliki gari, uanaume ni kuifanya familia yako iwe na furaha.
Hata kama mnapanda DCM as long as wapo happy, basic needs wanazipata huo ndio uanaume.
Hayo mabati yaliyo wekewa magurudumu na kupewa majina mbali mbali si jambo la msingi sana ndani ya familia.
 
Uko sahihi, Wanaume nunueni magari, Ila hakikisheni mnajenga nyumba kwanza ndo mnunue hayo magari
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Kwavile siendi Kanisani wala haisumbui. Mi ndio Mchungaji wa familia yangu.
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, Badala ya kushauri serikali iboreshe public transport Ww unahimiza watu wamiliki magari??
 
Unakuta hapo anakaa kwao hata baiskeli hana. Jitegemee utapata picha ya hayo yote. Labda kama una undugu na sheikh wa dar unafaidi vya kina gullam.
Umenena watoto wa siku hizi haangalii maisha endelevu,yaliyo na uthabiti,lazima maisha yawe na kanuni ,yakichagizwa na kipaumbele.
Huwezi ichukua familia ya watu watano walale kwenye gari vitz ,wakati 8.0 mil unaweza kuwa una vyumba viwili ambavyo haijaisha unalla uzingizi mnono na ukiamka unakwenda kukojoa husumbuliwi,kwenye gari ukibanwa haja unajisaidia wapi?
Watoto wajinga wa siku hizi umenena mdau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom