Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,524
Ukweli utaupata ukishatoa uchi mamiiSawa hata Mimi napenda ambiwa mazuri ila muwe mnatuongezea na ya uchungu kidogo..mazuri yakizidi Sana Yana uchungu mbeleni
Ukweli utaupata ukishatoa uchi mamiiSawa hata Mimi napenda ambiwa mazuri ila muwe mnatuongezea na ya uchungu kidogo..mazuri yakizidi Sana Yana uchungu mbeleni
Salaleeeh! Kazi ipoUkweli utaupata ukishatoa uchi
Hivi mkisemaga ukweli mnapatwa na nini?
utatunyima k iyoHivi mkisemaga ukweli mnapatwa na nini?
Wanapatwa na degedege la ukubwani.Hivi mkisemaga ukweli mnapatwa na nini?
Nipigwe akuuuTunapatwa na kibuti mama, wacha tu kamba ziendelee ili tupate tunachotaka! We nikikwambia nina mke utanipa chiu?
Nipo mkuuWewe mdada umepotea kinyamaaaaa
Tujue position yetu ni ipi
Hivi mkisemaga ukweli mnapatwa na nini?
Kumbe nimekuwa mkali basi I am sorry.
"Wanaume ndivo mlivo" Seconded !!!
Binafsi napenda kuambiwa ukweli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ukweli ni baada ya kukamilisha zoeziNipigwe akuuu
Ila mkitwambia ukweli inakuwaga rahisi hata visimu simu na vimessage tunapunguza.
atabaki na wazazi wake mkuu! Hujamwambia tu bado?
Nakazia, mwanamke atabaki kuwa mwanaume lakini wanaume siku hizi wanabebishwa kama wanawke. Kiufupi, mwanaume anawza kuwa wa kiume muda wowote.Ili uweze kuwa mwanaume kamili, lazima pia uwe na swaga za kishua ili mipango iweze kwenda sawia...
Bila hivyo, warembo watakutesa sana..
Warembo mtuvumilie tu, ndivyo tulivyo.
View attachment 1415644
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio anatakiwa aumie ili siku ingine apate akili. Kenge hasikii mpaka sikio litoke damu 😁😁😁Ahahaa...angeumia,nilimuonea huruma tu