Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,828
Dawa yake hapo unakula kuku na mayai yakeKuna kabila moja silisemi......ukioa huko uwe makini.....
Unakuta binti ana miaka 38 unaambiwa ana miaka 26....na wanautamaduni wa kuwatrain watoto wao wa ujanani na kuwaita mama zao dada....yaani...
Wewe ndiyo unatambulishwa pale, mtoto anatokea anamuita mama yake DADA, MGENI ANAKUNYWA KINYWAJI GANI..?
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app