mbalazi og
Member
- Oct 28, 2019
- 17
- 15
Alikuficha nn mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siungi mkono uongo lakini pande zote ke na me huwa tunaficha mambo flani.
Kuna mrembo aliniambia kuwa "nilikuficha hili" kwa kuhofia ungeniacha na kama ungeniache ningekuwa mgeni wa nani?
Wewe hapo huwezi kuongea kila kitu, yapo utaficha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
, acha kutafuta huruma za mademu 

