Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,452
Ili uweze kuwa mwanaume kamili, lazima pia uwe na swaga za kishua ili mipango iweze kwenda sawia...
Bila hivyo, warembo watakutesa sana..
Warembo mtuvumilie tu, ndivyo tulivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila hivyo, warembo watakutesa sana..
Warembo mtuvumilie tu, ndivyo tulivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app