Mwanaume asiyejielewa

Mwanaume asiyejielewa

Habari za jioni,

Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.

1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako

Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.

Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada?

Au nyie mna maoni gani?

Najaribu kumsaidia mtu hapa.
As long as unampenda mbona fresh tuu, si mlitaka 50% 50%
 
Ataoa vipi Kama Ela yenyewe ya kula inampg chenga,

Akienda ukweni akatajiwa vikorokoro vya mahali na kuoa ataweza kumudu?

Akili za Wanawake Sijui sometimes huwa zinawaza nn
Kiufupi hapo mwenye shida ni huyo mwanamke. Ndoa sio kuchukua mwanamke na kumuweka ndani, inaambatana na vitu vingi. Mtu ambae hata kula yake ni ngumu, akiongeza na mtu wa pili itakuwaje?

Huyo jamaa hayupo well financially, ni halali yake kumwambia bi dada amsubirie ajipange.

Hata kama Dem Yuko vizuri kiuchumi, mwanaume unatakiwa na ww uwe unajiweza Kwa kiasi fulani. Vinginevyo yataanza masimango mbeleni au utakosa sauti ndani ya nyumba, hata kwa ndugu wa mke.

Hapo issue Iko simple, mwanamke Yuko desperate na ndoa, ila jamaa hayuko well financially. Hao watu hawatoweza kuelewana
 
Mh hii siiwezi katu, huyo mwanaume au sanamu la kiume
 
Habari za jioni,

Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.

1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako

Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.

Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada?

Au nyie mna maoni gani?

Najaribu kumsaidia mtu hapa.
Tatizo sio huyo mwanaume. Tatizo ni wewe.
Hebu jiulize, unampenda na unaona kabisa mwelekeo wa maisha yake utaendana na wewe?

Ikiwa jibu ndio.... basi msaidie afikie anapotaka kufika mambo yake yawe safi. Haiwezekani unampa yote hayo jumlisha papuchi yako halafu ushindwe kumjengea uwezo kiakili na kimwili. Nchi hii kuna shida kubwa sana ya kulialia na kulalamika bila kuchukua hatua.

Hebu fikiria ingekuwa yeye ndio ana huo uwezo halafu hataki kukisaidia anakuja kutafuta ushauri mitandaoni akufanye nn ungejisikiaje
 
Wanaume wa sasa Wengi wao hupenda sana vyumba vya wanawake
 
Habari za jioni,

Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.

1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako

Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.

Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada?

Au nyie mna maoni gani?

Najaribu kumsaidia mtu hapa.

Alishatoa penzi maana Ndio ndoa mengine kusaidiana. Kama kashaliwa basi aache uduanzi
 
Kapata mtelezo anateleza nao


Ila si anapeleka moto vizuri?
 
Mwanaume hana shida, tatizo lipo kwako. Wewe unamuitaji zaidi kuliko yeye anavyokuitaji. Kwa ufupi ni kuwa umekosa soko. Ukimpiga chini atapata mjinga mwingine anayefanana na wewe. Mpo wengi sana siku hizi.
 
Back
Top Bottom