SatCitAnanda
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 643
- 1,104
Jamani mahusiano maximum three months, ikizidi songa huku kwa singles club ujiepushie hasara na maumivu!
Wewe umemwambiaje ??Habari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako
Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.
Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada?
Au nyie mna maoni gani?
Najaribu kumsaidia mtu hapa.
Exactly, sikutegemea kukutana na uzi wa hovyo kama huuMtoa mada ndo tafsiri halisi ya msemo
"WANAWAKE NI VIUMBE WABINAFSI"

......nafikiri akiwa na hayo matatu ya kwanza sidhani kama anakuwa na sifa ya kuitwa mpenzi au mume mtarajiwa....huyo ni msela wako anakupaa kampani....Habari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako
Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.
Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada?
Au nyie mna maoni gani?
Najaribu kumsaidia mtu hapa.
Hapa Wakushauriwa Ni huyo kijana
Ushaur Ni kwamba
Akuvumilie TU kipind iki kigumu Hana KAZI unavomhudumia uku unamsimanga
Ila mambo yake yakikaa sawa
Namsihi akupige chini haraka,akaoe mwanamke asie na roho ya ubinafsi Kama Wewe.
Unataka ushaur mzur ktk hili,
Punguza jazba tukushaur vitu vya maana
Tulia wewe nina fyucha nae tumegombana ndio maana kaamua kunianika kipumbavu humu JFHuyo kaka hana future na huyo dada, anapoteza muda
Ukraine kumewahi kufika tetemeko au unachanganya na uturuki?Hivi mapenzi bado yapo au yalienda na tetemeko huko UKRAINE
Wanaume wa sasa Wengi wao hupenda sana vyumba vya wanawake


😂😂😂 Umeona mbali mkuuWanawake Kama mtoa mada
Ndo mnasababisha Watu wakatae NDOA
Sio vyumba tu Pesa, Chakula kizuri eebwana mikazo ya kiutuuzima mapaka nyau Nangu Nyau mtu mzima anataka kukata roho, hivyo yaanWanaume wa sasa Wengi wao hupenda sana vyumba vya wanawake
UTAPELIHiyo namba moja hiyo.🤓🤓
NDOA NI .......
Mkuu, mwanamke asiye mbinafsi anapatikana wapi ?Hapa Wakushauriwa Ni huyo kijana
Ushaur Ni kwamba
Akuvumilie TU kipind iki kigumu Hana KAZI unavomhudumia uku unamsimanga
Ila mambo yake yakikaa sawa
Namsihi akupige chini haraka,akaoe mwanamke asie na roho ya ubinafsi Kama Wewe.