Princess maryam
Member
- Mar 25, 2021
- 94
- 228
- Thread starter
- #121
Hata wewe deepPond Nahisi umewaza kama mimi, ukisoma pointi namba 3 hadi namba 10 za mtoa mada, mbona hivyo ni vitu ambavyo sisi wanaume wengi tunawafanyia wanawake, ila wao wanawake hawataki kutufanyia hayo DeepPond Mzigua90 Princess maryam Evelyn Salt
Wanawake hawakuumbwa kuwafanyia kitu wanaume. Waliumbwa kulea familia na kuzaa kwa uchungu.
