Mwanaume asiyejielewa

Mwanaume asiyejielewa

Habari za jioni,

Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.

1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako

Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.

Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada?

Au nyie mna maoni gani?

Najaribu kumsaidia mtu hapa.
Mbona jibu unalo tayari?
 
Kosa ni la mwanaume tulishasema ukiwa hauna hela usijihusishe na mapenz ya aina yeyote ile kausha tu kaa home kwenu, unaona sasa the definition ya mtu haelewek kwa wanawake? NI KUWA BROKE... Inawezekana jamaa anampenda kweli mwanamke ila jamaa yupo broke.. Na inawezekana kabisa huyu mwanamke anaelalamika jamaa haeleweki nae yupo broke ila anaona sawa kabisa yeye kuwa broke ila mwanaume kuwa broke anaona hapana, Waachane na hiyo relationship wafanye mambo mengine watakuja kugombana huko mbele.. Mwanamke anaona mambo hayatokei ameanza kukata tamaa huu ndio muda sahihi wa jamaa kukaza ili amwonyeshe mwanamke kuwa hili jambo lilikuwa temporally. Mwanamke akikupiga chini sababu ya pesa usichukie lifanye hilo jambo kama motivation ya kutafuta pesa ili uwe huru na hizi mbususu... Nikiwa sina hela nkitoka job ni home moja kwa moja wala hata siongelesh watu na wala sitak story na wanawake hata status zao siziangalii whatsapp wasije nipiga vizinga bure... Wanawake bila hela ni kutwanga maji kwenye kinu wazee kila siku tunawahubiria hapa...
 
Hapa Wakushauriwa Ni huyo kijana

Ushaur Ni kwamba
Akuvumilie TU kipind iki kigumu Hana KAZI unavomhudumia uku unamsimanga

Ila mambo yake yakikaa sawa
Namsihi akupige chini haraka,akaoe mwanamke asie na roho ya ubinafsi Kama Wewe.
Princess maryam umesikia lakini?
 
Wanawake bila hela ni kutwanga maji kwenye kinu wazee kila siku tunawahubiria hapa...
Utambulisho wa Muamala: 1606049149. Umepokea TSH 15,000.00 kutoka kwa FADHILI ZAROFI YENGO, till 371981 wakati 2023/03/11 15:16:54. Salio jipya ni TSH 15,024.00. Asante!

Hizo ndio meseji ambazo wanawake wanazozipenda zaidi kuliko meseji zozote katika maisha yao, kwa hio sina la kuangezea labda muehshimwa rais km anapita hapa ataangezea na yeye la kwake
 
Hawataki stori nyingi mademu mkuu, yan we zibua hata vyoo ila uwe na pesa utawezana nao yan... Ila ukiwa mbupu, ahahaha hautaacha ona rangi zote...
 
Mwanamke anatoa Ila akitoa jua ni deni lazima utarudisha na riba juu, yaan atakupa 5,000 basi utamrudishia 30,000, 80,000 au 100,000 wanakuhesabia tu siku yaan utarudisha tu, usione maandalizi mazuri ukachekelea unaandaliwa mazingira ya kupigwa
 
Wanawake ubinafsi ndiyo utawauwa
Jamaa hana maisha na unampenda
inaonekana una uwezo kuliko yeye
Kwanini msifungue biashara asimamie
Na yeye apate kipato asimamie hiyo familia
 
Kosa ni la mwanaume tulishasema ukiwa hauna hela usijihusishe na mapenz ya aina yeyote ile kausha tu kaa home kwenu, unaona sasa the definition ya mtu haelewek kwa wanawake? NI KUWA BROKE... Inawezekana jamaa anampenda kweli mwanamke ila jamaa yupo broke.. Na inawezekana kabisa huyu mwanamke anaelalamika jamaa haeleweki nae yupo broke ila anaona sawa kabisa yeye kuwa broke ila mwanaume kuwa broke anaona hapana, Waachane na hiyo relationship wafanye mambo mengine watakuja kugombana huko mbele.. Mwanamke anaona mambo hayatokei ameanza kukata tamaa huu ndio muda sahihi wa jamaa kukaza ili amwonyeshe mwanamke kuwa hili jambo lilikuwa temporally. Mwanamke akikupiga chini sababu ya pesa usichukie lifanye hilo jambo kama motivation ya kutafuta pesa ili uwe huru na hizi mbususu... Nikiwa sina hela nkitoka job ni home moja kwa moja wala hata siongelesh watu na wala sitak story na wanawake hata status zao siziangalii whatsapp wasije nipiga vizinga bure... Wanawake bila hela ni kutwanga maji kwenye kinu wazee kila siku tunawahubiria hapa...

Hii point moja kubwa sana
 
Back
Top Bottom