zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
Don't loose your self,trie to hold on to someone.
Hawataki maisha magumu,ila jamaa hayuko njema, still wanamfosi aoe. Yupo tayari kuvumilia?Anazingua sn mtoa mada,
Masimango yote sijaona alipanda kwann jamaa hayuko sawa kiuchumi
Inaonekana suala la kwann mpenz wake kayumba halimhusu, anachojali Ni mambo yaende no matter what.
Wanawake km mtoa mada ukiwaendekeza, uchelewi kua kibaka au jambazi ,ukamatwe upigwe mawe ufe kwa sababu ya mapenz
Nishakupa ushauri achana nae. .Toa ushauri sasa
Sasa Princess maryam uko pande zipi?Ha ha haaaa
Hivi umetafakari vzur Ulichokiandika kwny uzi wako?Wanakataa kwa sababu zao hao
Hivi umetafakari vzur Ulichokiandika kwny uzi wako?
Ataoa vipi Kama Ela yenyewe ya kula inampg chenga,Hawataki maisha magumu,ila jamaa hayuko njema, still wanamfosi aoe. Yupo tayari kuvumilia?

Achana naye huo ni mzigo kama angekuwa na akili angetafuta hata mtaji auze maji ila sio kuwa marioooo aseee mimi bora niuze maji ya kandoro kuliko kukaa kwa demu ni mateso hata pumzi haitapita
Ataoa vipi Kama Ela yenyewe ya kula inampg chenga,
Akienda ukweni akatajiwa vikorokoro vya mahali na kuoa ataweza kumudu?
Akili za Wanawake Sijui sometimes huwa zinawaza nn![]()
Unataka ushaur mzur ktk hili,Hata siwaelewi kwakweli
Hapa Wakushauriwa Ni huyo kijana
Ushaur Ni kwamba
Akuvumilie TU kipind iki kigumu Hana KAZI unavomhudumia uku unamsimanga
Ila mambo yake yakikaa sawa
Namsihi akupige chini haraka,akaoe mwanamke asie na roho ya ubinafsi Kama Wewe.
Unataka ushaur mzur ktk hili,
Punguza jazba tukushaur vitu vya maana
Ubinafs Ni roho,Inakuaje mbinafsi wakati anamhudumia kila kitu? Huoni amejitoa sana?