Mwanaume asiyejielewa

Mwanaume asiyejielewa

Huyu mwanaume wa rafiki yako unapenda kumfatilia vipi unamtaka?
Kwa tafsiri Hii
Mtoa mada Hana sifa ya kuolewa
 
Habari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako


Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.

Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada???

Au nyie mna maoni gani?

Najaribu kumsaidia mtu hapa.
Atakuwa ni wale wa upinde; achana naye.
 
Wa kulaumiwa ni nani hapo? Na yeye mbona
1.yUpo tayari kuchezewa
2.yUpo tayari kumpa hela
3.yupo tayari kuziniwa kisirisiri hadi achokwe
4.yupo tayari kumpa gari yake
5 yUpo tayari kumpa hela

Au anabembeleza mapenzi asipo pendwa? Kama ni hivyo avumilie hayo ndo malipo anayo stahili
 
Anazingua sn mtoa mada,
Masimango yote sijaona alipanda kwann jamaa hayuko sawa kiuchumi

Inaonekana suala la kwann mpenz wake kayumba halimhusu, anachojali Ni mambo yaende no matter what.

Wanawake km mtoa mada ukiwaendekeza, uchelewi kua kibaka au jambazi ,ukamatwe upigwe mawe ufe kwa sababu ya mapenz

Anataka ushauri acha kujaji
 
Dada jionee miba inayowaniga wanaume.
Lea Mwanetu huyo dada ila jua akikaa Sawa ataenda kwa level zake
 
Huyu mwanaume wa rafiki yako unapenda kumfatilia vipi unamtaka?

Toa ushauri sasa
 
Back
Top Bottom