Mwanaume anapomtaka mwanamke

Mwanaume anapomtaka mwanamke

Ni kwa sababu tunafikiria zaidi ya yanayoonekana

Imagine eti mtu anachukia kuitwa mama fulani au kwa jina lake la kwanza! Huyu naye akunyime usingizi?

Lugha nzuri mwanzo ni lazima...hata chupa ya mtoto inapotumika kwa muda mrefu na uoshaji wake hubadilika..sembuse mahusiano,tulikuwa wawili tukala popote kwa gharama yoyote sasa tuna watoto unataka the same life style????

Tukiwa wachumba ni mimi na wewe basi,nikiuoa nawajibika kwa ndugu na hata wazazi wako so hapo usitegemee nibaki honey ,sweets,na mengineyo attention inagawanyika sasa na wewe inabidi usogee kidogo kutoka tulipoanzia sio ubaki kama kisiki

Mwanamke wa haja naye akishaolewa huwa anabadilika na kuchukua majukumu ya mke...ukichelewa anapiga simu kujua uko wapi unafanya nini na unategemea kurudi sa ngapi na atakupa live,its late now we need you home,static minded atanuna!!!!!!???????

Mke ukifanya kosa anakuweka chini na kukueleza...static minded atalia na kuona anaonewa..zamani hukuwa hivi,umenichoka n.k!!!!!

Mke humpa mume majukumu na kumkumbusha,mathalani sukari inakaribia kuisha mwisho wa mwezi tufanye mpango wa kupata nyingine...static husubiri iishe ndo aanze honey nikuambie kitu..kesho tunaweza kukosa chai as sukari kwishney...unabadili channel tu huku unacheza na mwanao as hapo umjibu nini sasa..ataona unamdharau,to hell!!!!!

Mnapotaka kuolewa mjue ni maisha mapya ndo maana rituals kama send off,kitchen parties,kufunga ndoa na reception hufanyika..after all these you expect to be the same and receive the same volatile treatments???!!!!!!!
 
....anaanza kukuita jina lako au mama fulani ....

Dah! Yaani hata kuitwa jina lako hutaki?

Kwa hiyo, kwa mfano, Obama huwa haonyeshi upendo anapomwita mkewe Michelle badala ya "my sweetheart"?

Sasa kama wewe ni mama yake Kadadaa kuna ubaya gani kuitwa Mama Kadadaa?

Unamkana hata mwanao wa kumzaa?

After all wakati wa uchumba ingewezekana kuitwa Mama Kadadaa kwa sababu Kadadaa mwenyewe alikuwa bado hajazawaliwa.

Baada ya kuoana mmefanikiwa kupata a "baby" lakini bado unataka mumeo aendelee kukuita a "baby"?

So, kutakuwa na "babies" wawili, probably watatu ndani ya nyumba?

Unless wewe ni mwanamke ambaye ni attention seeker wala sioni tatizo lolote.

Vitu vya kuiga tabu sana. Judge you man based on his actions, not his words. Actions spoke louder than words.

Asprin umepitia pande hizi? Eti Mama Matesha nae huwa analalama kama anavyolalama shansarie kuitwa hivyo badala ya "my baby"?
 
Mwanaume anapomtaka mwanamke anakuwa na maneno matamu kupita kiasi ataongea kila aina ya lugha ilimradi tu akupate,na mwanzoni atakupenda na kukufanyia chochote utakacho mpaka utajikuta nawewe mwanamke unampenda tena pengine zaidi ya yeye anavyokupenda na hapo ni baada ya kufahamiana vizuri na kumjua mwenzako ni mtu wa namna gani.mtashea mambo mengi mno pamoja na kuitana kila aina ya majina ili tu kudumisha penzi lenu

sasa inapofikia mmezoeana kupita kiasi mapenzi yanaanza kupungua alikuwa anakuita darling honey sweety na mengine mengi yote hayo yanaisha anaanza kukuita jina lako au mama fulani na mabadiliko haya hasa ni kwa wanaume hii ni kwa uchunguzi wangumdogo niloufanya yaani mpaka mwanamke unakuwa unajishtukia kama unajipendekeza mana unajitahidi kumpeti ukidhani mpo page moja kumbe mwenzio wala hayupo nawe
sijajua ni nn huwa kinatokea had kufikia mabadiliko hayo ni kuzoeana kupita kiasi na je tuwekeane mipaka ya kutokuzoeana sana au tufanyeje au tusifunge ndoa tubaki kwenye uchumba huku ndo kuna raha zaidi ukishaingia ndani kila kitu kina badilika
ningependa wanaume wachangie zaidi nn kinawatatiza na wakike mnakaribishwa

aisee hoja matata sana hii na inapendeza sana..
ila mi ninavyojua love is like a quick sand kadri unavyoingia
ndivyo unavyozidi kuzama..
kama mtu umempenda kweli upendo utakuwa unaongezeka kila siku,
Labda wewe mdada uwe unaigiza

Na unapoingia kwenye ndoa unayafungua makucha, kwenye uchumba unaplay part well ili uolewe,
Ukishatiwa ndani basi unaona kila kitu kimemalizika..
Hapa mimi lazma niwalaumu nyie wadada kwa jinsi mnavyofunction kabla ya ndoa..
na mkiwa ndani ya ndoa!!

Ninaamini kabisa if there is true love between two there's no kuchokana
Na kadri mnavyoendelea kuishi pamoja ndivyo mnavyozidi kupendana, regardless majina mtakayoitana,
Ukae ukijua haya majina ya sweet, honey, n.k yana mipaka yake haswa kwa mustakabali wa malezi ya watoto wenu..
Go and Investigate more, ndoa za muda mrefu ndizo imara sana kuliko ndoa changa...
 
Kuigiza kunachosha sana....bila shaka bila kufanya maigizo kidogo hupati kitu.....ila muda ukifika haya maigizo huwekwa kando, wote tunarudi kwenye uhalisia wetu.
Haya majina tunaigiza tu, kimsingi hatuko hivyo. Hatujalelewa hivyo....hii haiko kwenye nafsi zetu. Ukiacha haya majina ya kuigiza kuna hili la zawadi zisizo za kwetu (kama maua nk)....maigizo tu.
Kaizer na Asprin mna mabeibs?
Haya mbeibs ayetaka nimwite beibi akuje piiemu.🙂
 
Last edited by a moderator:
Ni kwa sababu tunafikiria zaidi ya yanayoonekana

Imagine eti mtu anachukia kuitwa mama fulani au kwa jina lake la kwanza! Huyu naye akunyime usingizi?

Lugha nzuri mwanzo ni lazima...hata chupa ya mtoto inapotumika kwa muda mrefu na uoshaji wake hubadilika..sembuse mahusiano,tulikuwa wawili tukala popote kwa gharama yoyote sasa tuna watoto unataka the same life style????

Tukiwa wachumba ni mimi na wewe basi,nikiuoa nawajibika kwa ndugu na hata wazazi wako so hapo usitegemee nibaki honey ,sweets,na mengineyo attention inagawanyika sasa na wewe inabidi usogee kidogo kutoka tulipoanzia sio ubaki kama kisiki

Mwanamke wa haja naye akishaolewa huwa anabadilika na kuchukua majukumu ya mke...ukichelewa anapiga simu kujua uko wapi unafanya nini na unategemea kurudi sa ngapi na atakupa live,its late now we need you home,static minded atanuna!!!!!!???????

Mke ukifanya kosa anakuweka chini na kukueleza...static minded atalia na kuona anaonewa..zamani hukuwa hivi,umenichoka n.k!!!!!

Mke humpa mume majukumu na kumkumbusha,mathalani sukari inakaribia kuisha mwisho wa mwezi tufanye mpango wa kupata nyingine...static husubiri iishe ndo aanze honey nikuambie kitu..kesho tunaweza kukosa chai as sukari kwishney...unabadili channel tu huku unacheza na mwanao as hapo umjibu nini sasa..ataona unamdharau,to hell!!!!!

Mnapotaka kuolewa mjue ni maisha mapya ndo maana rituals kama send off,kitchen parties,kufunga ndoa na reception hufanyika..after all these you expect to be the same and receive the same volatile treatments???!!!!!!!

asante kwa somo OlesAIDINI nitajipanga nikiingia huko maana wanatutusha hao walioko huko kwenye ndoa ndoano
 
Last edited by a moderator:
Dah! Yaani hata kuitwa jina lako hutaki?

Kwa hiyo, kwa mfano, Obama huwa haonyeshi upendo anapomwita mkewe Michelle badala ya "my sweetheart"?

Sasa kama wewe ni mama yake Kadadaa kuna ubaya gani kuitwa Mama Kadadaa?

Unamkana hata mwanao wa kumzaa?

After all wakati wa uchumba ingewezekana kuitwa Mama Kadadaa kwa sababu Kadadaa mwenyewe alikuwa bado hajazawaliwa.

Baada ya kuoana mmefanikiwa kupata a "baby" lakini bado unataka mumeo aendelee kukuita a "baby"?

So, kutakuwa na "babies" wawili, probably watatu ndani ya nyumba?

Unless wewe ni mwanamke ambaye ni attention seeker wala sioni tatizo lolote.

Vitu vya kuiga tabu sana. Judge you man based on his actions, not his words. Actions spoke louder than words.

Asprin umepitia pande hizi? Eti Mama Matesha nae huwa analalama kama anavyolalama shansarie kuitwa hivyo badala ya "my baby"?

am not attension seeker EMT mawazo yenu ni muhimu kwangu kwani bado sijaingia huko kwenye ndoano ni vizuri kujua yanayojiri humo
 
Last edited by a moderator:
aisee hoja matata sana hii na inapendeza sana..
ila mi ninavyojua love is like a quick sand kadri unavyoingia
ndivyo unavyozidi kuzama..
kama mtu umempenda kweli upendo utakuwa unaongezeka kila siku,
Labda wewe mdada uwe unaigiza

Na unapoingia kwenye ndoa unayafungua makucha, kwenye uchumba unaplay part well ili uolewe,
Ukishatiwa ndani basi unaona kila kitu kimemalizika..
Hapa mimi lazma niwalaumu nyie wadada kwa jinsi mnavyofunction kabla ya ndoa..
na mkiwa ndani ya ndoa!!

Ninaamini kabisa if there is true love between two there's no kuchokana
Na kadri mnavyoendelea kuishi pamoja ndivyo mnavyozidi kupendana, regardless majina mtakayoitana,
Ukae ukijua haya majina ya sweet, honey, n.k yana mipaka yake haswa kwa mustakabali wa malezi ya watoto wenu..
Go and Investigate more, ndoa za muda mrefu ndizo imara sana kuliko ndoa changa...

yetu itadumu usijali thax kwa mawazo yako
 
Utamu wa mwanamke unapungua baada ya muda
flani, yaani ni sawa na kusema wana issue date n expire date
sasa muda wa expire ukikaribia wanapoteza ladha, mvuto etc
Kwa men siku zote wako na mvuto as long pesa ya matumizi
ya hapa na pale kama bado fit
 
flani, yaani ni sawa na kusema wana issue date n expiry date
sasa muda wa expiry ukikaribia wanapoteza ladha, mvuto etc
Kwa men siku zote wako na mvuto as long pesa ya matumizi
ya hapa na pale kama bado yako fit

hapa sikubaliani na wewe Boflo..
 
Last edited by a moderator:
Haya angalia kabila hapo!
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1374124514664.jpg
    uploadfromtaptalk1374124514664.jpg
    58.5 KB · Views: 151
Utamu wa mwanamke unapungua baada ya muda
flani, yaani ni sawa na kusema wana issue date n expire date
sasa muda wa expire ukikaribia wanapoteza ladha, mvuto etc
Kwa men siku zote wako na mvuto as long pesa ya matumizi
ya hapa na pale kama bado fit

kama wewe unapesa yakujiweka wewe uvutie kwann usimtengeneze na mkeo nyie ndo mnaotoka nje ya ndoa
be carefull
 
Kuna vitu kama, mnato, sasa sita inageuka saa 12 etc ni vigumu
kutengenezeka
 
asante kwa somo OlesAIDINI nitajipanga nikiingia huko maana wanatutusha hao walioko huko kwenye ndoa ndoano
Ni OLESAIDIMU, naona kosa moja kubwa kwako,attitude ya ndoa ndoano,ndoa is what you make it to be ,wee na mumeo maneno ya watu yalikuwepo,yapo na yataendelea kuwepo...

Ndoa haina formula zaidi ya nguzo kuu za upendo,heshima,kuthaminiana,na kusaidiana haya ni lazima.Sijaweka neno kuaminana makusudi as hapo kuna mjadala mkubwa sana na imani haipimiki ila hayo mengine unaweza kuyapima!!!!!!

Kwa hiyo mamaa fanya uamuzi sahihi kabla ya kuingia na ujue hii ni kama electric saw..very effiicent yet very hazardous!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kuwa wengi mnapenda kuwa na mapenzi ya kuigiza na kufurahisha kadamnasi ( jamii) ili kila mtu akiwaona ajue kuwa mko juu na mnapendana xana kumbe wala , kwani jamaa navizia mida ya kupiga "mkuyati" kisha atokomee mazingira ya kutatanisha, :A S kiss:"ukitakila lazima na wewe ukubali kuliwa":A S kiss: - by mkulu wa kaya.
 
Ni OLESAIDIMU, naona kosa moja kubwa kwako,attitude ya ndoa ndoano,ndoa is what you make it to be ,wee na mumeo maneno ya watu yalikuwepo,yapo na yataendelea kuwepo...

Ndoa haina formula zaidi ya nguzo kuu za upendo,heshima,kuthaminiana,na kusaidiana haya ni lazima.Sijaweka neno kuaminana makusudi as hapo kuna mjadala mkubwa sana na imani haipimiki ila hayo mengine unaweza kuyapima!!!!!!

Kwa hiyo mamaa fanya uamuzi sahihi kabla ya kuingia na ujue hii ni kama electric saw..very effiicent yet very hazardous!!!!!!!

nimekusoma
 
Kuna vitu kama, mnato, sasa sita inageuka saa 12 etc ni vigumu
kutengenezeka

hayo ni maumbile ya mungu na homones piazinachangia, hata ungeoa ishirini wakisha zaa na umri kusonga lazima hivyo vibadilike wachache sana hubaki na hizo saa sita hadi utu uzima wanaoweza kumentain hizo ni wenzetu wa mbele tena wenye hela zao wao wakimaliza kuzaa tu wanafanyiwa plastic surgery saa sita inarudi.kwa ujumla unanuua umbo unalolitaka hospitali
 
Back
Top Bottom