Hapa tumekuja kufundishana kanuni ya imani??? Jibu swali mamaaa...... wengi huanzia na wawili.... Unavyosema wengi unamaanisha wangapi? Japo kwa percentage....
Hii ya kuitana mama naniliu hivi hakuna wanaoitana baba naniliu??
Mi huwa nakasirikaga sana kwa watu wanaoamini kuwa mapenzi ya utineja yanaweza kuwa with constant velocity na acceleration mpaka kufikia uzeeni....
Hebu
Kaizer njoo toa neno la chama hapa!! Kuna mtu anataka aendelee kuitwa "baby" wakati tayari anajitoto liko standadi seven... Mwite na
King'asti kabla hajapiga msuba.