Mwanaume anapomtaka mwanamke

Mwanaume anapomtaka mwanamke

Binafsi kuitana majina yenu halisi huwa naona it is more real
kuliko kuitana honey na darling..

Hayo majina yanapunguza ajali.
Kuzoea kuitana majina halisi kuna ajali kadhaa.
Mwingine hawakawii kukuita Ali wakati wewe ni Juma haswa pale ukiwa umembananisha kunako 6x6, sasa hapo akiwa mchumba au mke unaweza ukaanza kujiuliza maswali mengi.
 
Mbona nje ndio wanavyoitwa wababa mpaka wanasahau kulipa ada za watoto.

mie naona wadada hupenda kutumia hayo maneno. Akiacha kukuita beby kashapata wa kumwita hilo jina. Kama kuna kautam wanajiskiaga kupata mtu wa kumwita beby hivi.
 
Sasa bibie mbona umemjibia shansarie nje ya kabisa ya point yake kuwa mianaume ndo ina matatizo. Huyu shansarie huyu kwanini anaanzisha mada afu anasepa anakuachia mpendwa umjibie. Ni wifi yako au? LOL (Just kidding bana)

Tuwaite wadau Kaizer, cacico, Paloma, Mtambuzi, amu, Fixed Point, snowhite, gfsonwin waje nao wachangie kiduchu
mkwe hapa mna diskasheni gani?
nani hataki kuitwa bebi?
mimi ngoja aendelee tu kuniita, inasaidia kunifanya nionekane bado nipo kwenye mstari, lol!
 
Sio ishu ya kuamini, ni ishu ya facts
Niamini imekuwa dini hii?
Na unadhani inawakumba watu wote?

kama huamini katk hilo ni bora ukae kimya maana huna cha kuchangia wapo yanaowakuta na inakera sana hii pia huchangia sana watu kutoka nje ya ndoa
 
I love you honey...

Hebu ka zis wei, hii baridi waionaje lakini??

I miss you sana, nataka kurina asali

Hapa tumekuja kufundishana kanuni ya imani??? Jibu swali mamaaa...... wengi huanzia na wawili.... Unavyosema wengi unamaanisha wangapi? Japo kwa percentage....

Hii ya kuitana mama naniliu hivi hakuna wanaoitana baba naniliu??

Mi huwa nakasirikaga sana kwa watu wanaoamini kuwa mapenzi ya utineja yanaweza kuwa with constant velocity na acceleration mpaka kufikia uzeeni....

Hebu Kaizer njoo toa neno la chama hapa!! Kuna mtu anataka aendelee kuitwa "baby" wakati tayari anajitoto liko standadi seven... Mwite na King'asti kabla hajapiga msuba.

Mtu anataka aitwe baby huku wanarukia daladala la gongo la mboto
Halafu kwa lazima hata kama mwenza hataki, fake fake fake
amwache mtu amwite anavyojisikia

Afu anataka tumwamini kama dini, huyu bado kinda wa mapenzi, akikumbana na verosa ndio atatia akili
 
Ishu ilianzia hapaaaaaaaaaa
Ikajibiwa hiviiiii

Swali likaja hiviiii

Likajibiwa kwa kiburi namna hii...

Nami nikaona nichangie hiviiii...

Aliyetakiwa kujibu akajitokeza huyu akajibu hiviiii........ Ila majibu haya yanaonyesha tatizo liko pande zote kwa wanaume na wanawake. Ok???

Sasa bibie mbona umemjibia shansarie nje ya kabisa ya point yake kuwa mianaume ndo ina matatizo. Huyu shansarie huyu kwanini anaanzisha mada afu anasepa anakuachia mpendwa umjibie. Ni wifi yako au? LOL (Just kidding bana)

Tuwaite wadau Kaizer, cacico, Paloma, Mtambuzi, amu, Fixed Point, snowhite, gfsonwin waje nao wachangie kiduchu

mmmh!! Asprin mzazi mwenzangu, umeniita ila sijatuliza kichwa vizuri kusoma uzi wote. hapa nimekuja na hoja kutokana na picha ya juu tu nilioipata hapa kwenye hii page 3.

Labada tuulize swali hivi kipimo cha mapenze kwa shansarie ni kipi?? kwake yeye anayapima kw akupetiwa, kuitwa honey, sweet kipepeo, swtlo, laaaziz, mahabuba, et al?? anayapima kwa kushikwa kiuno hadharani na kubusiwa hadahrani kama alivyokuwa naafanya OBAMA kwa MICHELLE??

Kama hicho ndicho kipimo chake cha mapenzi basi ni wazi kwamba huyo mumewe / mpenzi wake hampendi na kwa mujibu wa imani yake ameshaproove beyond reasonable doubt kwamba hapendwi.

sioni sababu hasa ya sisi kuendelea kumbishia kitu ambacho tayari kesha jiwekea benchmark kwamba akiona 1/2at[SUP]2 [/SUP]tayari anajua hapa inatakiwa kuandikwa equation ya distance kwenye newtons law.
 
Last edited by a moderator:
Sio ishu ya kuamini, ni ishu ya facts
Niamini imekuwa dini hii?
Na unadhani inawakumba watu wote?
halafu aisee kuna watu wana formula ngumu sana sana za mapenzi.
yaani mtu mpaka upetiwe ndipo uone unapendwa?? mpaka ufanyiwe fakelization ndipi ujue na wewe una exist??

Yumkini hawa ndo wale walipomwona obama ana mbusu na kumshika kiuno michelle walikwenda kuwaburuza waume zao waanze kuwafanyia hivyo.
 
I miss you sana, nataka kurina asali

Mtu anataka aitwe baby huku wanarukia daladala la gongo la mboto
Halafu kwa lazima hata kama mwenza hataki, fake fake fake
amwache mtu amwite anavyojisikia

Afu anataka tumwamini kama dini, huyu bado kinda wa mapenzi, akikumbana na verosa ndio atatia akili

asante ni maoni yako ruksa kusema,ila nimekomaa sawia kmunadhani ni kinda ni vizuri ukanielewesha kuliko kunionyesha attitude yako
 
halafu aisee kuna watu wana formula ngumu sana sana za mapenzi.
yaani mtu mpaka upetiwe ndipo uone unapendwa?? mpaka ufanyiwe fakelization ndipi ujue na wewe una exist??

Yumkini hawa ndo wale walipomwona obama ana mbusu na kumshika kiuno michelle walikwenda kuwaburuza waume zao waanze kuwafanyia hivyo.

sijaolewa nia yangu nataka nijue humo ndani kuna nn mana wanandoa wanalalama sana kuhusu hayo so gfsonwin ni vizuri ukatoa busara zako hapa na si vinginevyo,nipate kuwa imara nikiingia humo
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wakilala wengine na wewe unashawishika kulalama?

Labda niulize, unahitaji uimara wa aina gani kuingia kwenye ndoa?

sasa kwann kuumiza ubongo wako kwa jambo ambalo huliish??
acha kuish maisha ya maigizo na maisha ya mfanano.................tena usipende sana kusikiliza shuhuda za watu juu ya maisha yao utajikuta unapanic na maisha yanakushnda.

kama unapenda mapenzi ya kiobama talk tu ur spouse juu ha hilo mjue sasa mtaish vipi, kama huna hakika unapenda nini basi let atters take their natural way, thats all.
 
Kwa hiyo wakilala wengine na wewe unashawishika kulalama?

Labda niulize, unahitaji uimara wa aina gani kuingia kwenye ndoa?

nafkiri nataka kubeba silaha za maangamizi ili awe imara.
asijue kwamba maisha hayako hivyo.
manake ukijipanga sana ndivyo maisha yatakavyojipanga kukudefeat
 
Kwa hiyo wakilala wengine na wewe unashawishika kulalama?

Labda niulize, unahitaji uimara wa aina gani kuingia kwenye ndoa?

ndo uniambie sasa natakiwa niweje wanantisha ati hadi naogopa kuingia humo.
 
Hata nguo mpya inakufanya uwe mwenye furaha na huru unapoivaa. Sasa ikiifua mara 30 furaha na uhuru wako unapoivaa inabadilika
 
sasa kwann kuumiza ubongo wako kwa jambo ambalo huliish??
acha kuish maisha ya maigizo na maisha ya mfanano.................tena usipende sana kusikiliza shuhuda za watu juu ya maisha yao utajikuta unapanic na maisha yanakushnda.

kama unapenda mapenzi ya kiobama talk tu ur spouse juu ha hilo mjue sasa mtaish vipi, kama huna hakika unapenda nini basi let atters take their natural way, thats all.

nimelipokea ntalifanyia kazi
 
Ha ha ha, anasahau maisha hayana kujipanga kivile
Kila siku kuna changamoto mpya

nafkiri nataka kubeba silaha za maangamizi ili awe imara.
asijue kwamba maisha hayako hivyo.
manake ukijipanga sana ndivyo maisha yatakavyojipanga kukudefeat
 
Back
Top Bottom