Mwanaume anapomtaka mwanamke

Mwanaume anapomtaka mwanamke

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,373
Mwanaume anapomtaka mwanamke anakuwa na maneno matamu kupita kiasi ataongea kila aina ya lugha ilimradi tu akupate,na mwanzoni atakupenda na kukufanyia chochote utakacho mpaka utajikuta nawewe mwanamke unampenda tena pengine zaidi ya yeye anavyokupenda na hapo ni baada ya kufahamiana vizuri na kumjua mwenzako ni mtu wa namna gani.mtashea mambo mengi mno pamoja na kuitana kila aina ya majina ili tu kudumisha penzi lenu

sasa inapofikia mmezoeana kupita kiasi mapenzi yanaanza kupungua alikuwa anakuita darling honey sweety na mengine mengi yote hayo yanaisha anaanza kukuita jina lako au mama fulani na mabadiliko haya hasa ni kwa wanaume hii ni kwa uchunguzi wangumdogo niloufanya yaani mpaka mwanamke unakuwa unajishtukia kama unajipendekeza mana unajitahidi kumpeti ukidhani mpo page moja kumbe mwenzio wala hayupo nawe
sijajua ni nn huwa kinatokea had kufikia mabadiliko hayo ni kuzoeana kupita kiasi na je tuwekeane mipaka ya kutokuzoeana sana au tufanyeje au tusifunge ndoa tubaki kwenye uchumba huku ndo kuna raha zaidi ukishaingia ndani kila kitu kina badilika
ningependa wanaume wachangie zaidi nn kinawatatiza na wakike mnakaribishwa
 
Binafsi kuitana majina yenu halisi huwa naona it is more real
kuliko kuitana honey na darling..
 
Mwengine akiwa na shida ndo honey zisizo na idadi.....lol!!!!!wakati hana utasikia we kiduku.teh teh teh.....
 
Binafsi kuitana majina yenu halisi huwa naona it is more real
kuliko kuitana honey na darling..

sio mbaya ni mawazo yako sasa kwann huwa mnachoshwa mapema shida huwa ni nn
 
siyo kwa asakuta same , as long bado ni mpenzi wangu utapata majina matamu tu kutoka kwangu na najisikia fahari calling you majina hayo.
 
Hii hali nami ninayo as mwanaume,ila sijui ni kwanin??????napoanza mishe huwa nipp siriaz sana
 
Nahisi pengine mtu alipokutana na mwenzi wake alikua overwhelmed kiasi kwamba kuna vingi hakuaweza kuviona . Sasa mnapokua mmekaa pamoja kwa muda ndo anapata nafasi ya kumtazama vema mpenzi na kugundua hakua ametaka wa aina hii. Ingefaa mtu akaoa/kuolewa na anaempenda na si anaemtamani ie watu waongozwe na mapenzi hapo lbda itasaidia
 
Wengi inaanzia ngapi?

kama huamini katk hilo ni bora ukae kimya maana huna cha kuchangia wapo yanaowakuta na inakera sana hii pia huchangia sana watu kutoka nje ya ndoa
 
Back
Top Bottom