shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
- Thread starter
- #21
Nahisi pengine mtu alipokutana na mwenzi wake alikua overwhelmed kiasi kwamba kuna vingi hakuaweza kuviona . Sasa mnapokua mmekaa pamoja kwa muda ndo anapata nafasi ya kumtazama vema mpenzi na kugundua hakua ametaka wa aina hii. Ingefaa mtu akaoa/kuolewa na anaempenda na si anaemtamani ie watu waongozwe na mapenzi hapo lbda itasaidia
ni kweli Ablessed wengi wanatamani bila mapenzi ya dhati ni mbaya sana taitaji kujirekebisha hasa wenzetu hawa wanaume
Last edited by a moderator: