Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda

Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Hilo neno la kwanza kabisa(salamu)rekebisha.Umeandika matusi/viungo vya wanaume.
NB:Umesahau kuandika "mwenye hela za kutosha"!
 
Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Ukisema
..kuCARE unamaanisha kupewa matunzo aghalabu fedha, nguo, n.k. huyu ni kupe siyo mke. Mwanamke wa hivi ni wa kuogopwa kama ukoma

..anajua kupenda. Sioni mantiki ya hili kwasabb kupenda haifundishwi kama udereva. Ukiona hupendwi na mwanaume ujue uli-force penzi. Muache mtoto wa watu katafute mume mwingine
 
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Mkiwa na mwanamme anaeCare mnasema "we mpole Sana mimi nataka mwanaume mkali'',.
Kifupi hamjui mnataka nn!
 
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Sio kweli
 
Nitafute pesa tu
 
Pesa sio kwa ajili ya kuchezea wewe una kitu gani Cha maana unaweza mpatia Mwanaume mnawaza kuhudumiwa tu fanyeni Kazi hata za mikono ishi maisha yako mke wa Ndoa Tena ndoa halali ndo anabidi Kupata asilimia kidogo ya pesa ya mme wake.
 
Hawa kenge ukiacha kuzaa na mbususu Wana maajabu Gani mengine ya maana!!!?
 
Back
Top Bottom